Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Platozoomn~~~!

heheheheheeeeee
nahisi ulikuwa unalamba vidole na sahani............na sufuria pia wlaiendea ulambe
lol! maana kutaja tu mdomo umekucheza hahahahaaaa safi sana

Bado unapenda kula wali haragwe?

Kwa sasa nimeadvance kidogo........napenda wali nyama (na kitimoto?........sina hakika)
 
...ushawahi kulamba mke wa mtu?

Ushawahi kutelekeza mtoto?

Ushawahi kubemenda mtoto?.....

Mbona maswali ya mitego:

1. Chupuchupu ninaswe, inaonekana jamaa alipewa wrong info....sitarudia tena hako kamchezo
2. Sijawahi kutelekeza mtoto
3. Kubemenda ndio nini?
 
Plato !
Ushawangi kumanga 0713 ? Without helmet !

Kwanza nitake radhi....umeshanihukumu kwamba ni mlaji wa hiyo kitu ila unataka kuhakikisha kama nilivaa helmet au la!!
Aaaah infwakt nasikia wanasema bila helmet ndio mpango mzima, ila sina hakika juu ya hilo!!!
 
avatar67909_13.gif

platozoom akiwa katika pozi

Sublakheri wapenzi wasomaji wa JF, kwa wale ndugu zangu wakristo nasema Bwana Yesu asifiwe sana.

Haya tena leo mjengoni nipo na ndugu yetu, jamaa yetu na rafiki yetu platozoom. Mahojiano yangu na platozoom yatasawiri zaidi kwenye maisha yake binafsi na kazi zake za mapema.

Line za ku-post Comments ziko wazi, Mwana JF yeyote anaweza kutumia fursa hii kumuuliza platozoom swali lolote na yeye bila shaka atayajibu maswali yenu kwa kadiri atakavyopata muda.

Kwa kuanza ninayo maswali kumi na sita ambayo ningependa kumuuliza platozoom:

1. Je umezaliwa awamu ipi ya utawala katika nchi yetu?

2. Hebu nipe kwa kifupi historia kuhusu maisha yako ya shule, yaani ni changamoto gani ambazo ulikabiliana nazo na leo hii ukiangalia ulipotoka unajiona kama shujaa.
3. Hebu nipe historia yako ya hapa JF kwa kifupi, yaani ulifahamuje kuhusu JF, ulijiunga lini na ni nini kilikusukuma hadi ukajiunga na JF?
4. Je Ulifahamuje kuhusu tendo la kujamiiana? Yaani ni nani alikufundisha kwamba hiyo kitu downthere ina matumizi mengine mbali na yale ya kutabawali?
5. Je Umewahi Kutendwa?
6. Je umeoa? Kama umeoa, Je una watoto wangapi, na kama hujaoa, ina maana huna hata kabinti ka kuchombeza?
7. Je umewahi kupitisha usiku na kahaba?
8. Je ulipojivinjari na kahaba uliona tofauti yoyote na unachokipata kutoka kwa Mke/Mpenzi wako?
9. Je umetahiriwa, kama umetahiriwa, ulitahiriwa ukiwa na umri gani, na je ulitahiriwa kwa ganzi au kavu kavu kama wamasai?
10. Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana?
11. Je ni tukio gani liliwahi kukufurahisha sana?
12. Je unapenda kuvaa nguo za aina gani?
13. Ukipata fursa ya kupata staftahi na King'asti, Je ungapenda kujadili jambo gani na yeye?
14. Je ni mwana JF gani unavutiwa na post zake, yaani ukiona jina lake tu kama ame-post thread unashawishika kuifungua ili kujua kilichomo?
15. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?
16. Una ushauri gani kuhusu hiki kipindi cha Zinduna Talk Show…….

Haya nakaribisha maswali yenu wadau na hivi punde Bwana platozoom atakuja kuyajibu maswali yenu.

Karibuni sana

MABADILIKO:

Wiki ijayo Zinduna Talk Show atakuwepo The Boss na host atakuwa ni lara 1.
Madame B, atakuwepo mjengoni wiki inayofuata

Nawasilisha

Ndani ya nyumba ni MTU MZIMA The Boss na host nitakuwa Lara 1!!!!!!!!! MAMBO YA KIUTU UZIMA ZAIDI!!!!!!! MAMBO XXXXXXXXXXXL "COMMUNIST" The Boss ATATIRIRIKA MENGI!!!!!!!!! USIKOSE SI YA KUSIMULIWA!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ndani ya nyumba ni MTU MZIMA The Boss na host nitakuwa Lara 1!!!!!!!!! MAMBO YA KIUTU UZIMA ZAIDI!!!!!!! MAMBO XXXXXXXXXXXL "COMMUNIST" The Boss ATATIRIRIKA MENGI!!!!!!!!! USIKOSE SI YA KUSIMULIWA!!!!!!!

Yeah lara 1, itakuwa ni Jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012
Tafadhali msikose show hii maana naamini itabamba ile mbayaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom