Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Mzee Bishanga LIVE~~~~!

Bishanga uko wapi?
nimekwambia uende break kwa dakika kumi uvute mtemba wako wakati tukiweka matangazo ya wadhamini wa kipindi, lakini wewe umepotea moja kwa moja. Maswali bado yanakuja kutoka kwa wadau. njoo bana
 
Last edited by a moderator:
Wiki ijayo, Zinduna Talk Show itakuwa na mgeni wetu anayekwenda kwa jina la Kipipi
Nitakuwa na-balance gender

Nitashukuru ndugu mtangazaji Zinduna endapo utanipatia na nafasi ya kuomba donation ya faranga maanake maisha yamekuwa magumu kweli...........!! lol

Ila naomba kuuliza, je hayo maswali ni structured na yanaulizwa kwa kila mgeni hayo hayo au kuna mengine?? Mi ningependa unibadilishie mwaya..
 
Kipipi kuna maswali ya kiume na ya kike.
Hayo ni ya kiume, ya kike yanatofautiana. Kwa kifupi ni kwamba kila mdau ataulizwa maswali kulinangana na muonekano wa avatar yake LOL
 
Last edited by a moderator:
Bishanga ...mahojiano yanaendelea,
1. Je una watoto wangapi katika ndoa zako za mduara?
2. Je katika ndoa zako zote, ni ipi ulidumu nayo kwa kipindi kirefu zaidi?

Maswali mengine yatafuata
Kwetu huwa hatuhesabu watoto bana ni mwiko kabisa,ila nnao.
Technically wote ni wake zangu maana huwa ninapiga chini lakini talaka huwa sikubali,si unajua siku moja moja mzee unajisikia kufanya ka ziara?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom