Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Mzee Bishanga LIVE~~~~! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Mzee Bishanga LIVE~~~~!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Zinduna, May 26, 2012.

 1. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  xavatar11167_2_gif_pagespeed_ic_SA0qSootY6.jpg

  Kipindi hiki kinaanza na Mzee wetu Bishanga, ambaye baada ya kunizungusha sana kukubali mualiko wangu, hatimaye leo amekubali mualiko wangu na kuja hapa Studio kwa mahojiano haya ambayo yatasawiri zaidi kwenye maisha yake binafsi na kazi zake za mapema.

  Line za ku-post Comments ziko wazi, Mwana JF yeyote anaweza kutumia fursa hii kumuuliza Mzee Bishanga swali lolote na yeye bila shaka atayajibu mwaswali yenu kwa kadiri atakavyopata muda.

  Kwa kuanza ninayo maswali kumi ambayo ningependa kumuuliza Mzee Bishanga:

  1. Je umezaliwa msimu gani?
  2. Je Ulijisikiaje uliposhiriki tendo la kujamiiana kwa mara ya kwanza?
  3. Je Umewahi Kutendwa
  4. Je umewowa? Kama umewowa, Je una watoto wangapi, na kama hujawowa, Je nini mustakabali wako wa maisha ya uzeeni?
  5. Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana?
  6. Je ni tukio gani liliwahi kukufurahisha sana
  7. Je unapenda kuvaa nguo za aina gani?
  8. Je unapenda chakula cha aina gani?
  9. Ukipata fursa ya kupata staftahi na mheshimiwa Rais ungemweleza jambo gani linalokukera katika uongozi wake?
  10. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?

  Haya nakaribisha maswali yenu wadau na hivi punde Mzee wetu Bishanga atakuja kuyajibu maswali yenu.

  Karibuni sana

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Wiki ijayo, Zinduna Talk Show itakuwa na mgeni wetu anayekwenda kwa jina la Kipipi
  Nitakuwa na-balance gender
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Naomba mvute subira kwani Mzee Bishanga anajipiga sopu sopu kwa mapouda kabla hajauza sura live kwenye hii JF TV live kabisa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  dah hapa sitoki ngoja nisubili majibu.. afu kumbe huyu mzee anauza ndizi au ni pozi tu.!!?
   
 5. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kwa wale wenye vijiswali vyao, naomba mtupie humu kwani leo Mzee Bishanga amesema ataweka mambo yake yote hadharani!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana ndugu mtangazaji kwa kunikaribisha katika kipindi chako maridhawa.Nianze kwa kukuomba uondoe hako ka laptop hapo ili nikuchungulie vizuri.
  Mithali maswali yako umeyaandaa kwa mandishi nitayajibu kwa maandishi pamoja na kwamba tupo pamoja studio hapa lower manhattan,new york.
  Twende moja kwa moja kwenye majibu numerically.
  1.Nimezaliwa katika hospitali ya Asp and Clor ,london,majira ya joto,1940.Baba yangu ni mtanganyika wa kwanza kwanza kusoma UK,alikwenda na mama.
  2.Kujamiiana 1st time? Of course nilijifunzia kwa housegirl,who else (vijana wote waliokulia ostabei ndo zao anyway akiwemo Rejao).
  3.Kutendwa? Mbaya wangu unamjua anaishi Unga ltd.
  4.Kuoa? Nimeoa,nikaacha,nikaoa,nikaacha,nikaoa,nikaacha,nikaoa..........
  5.Tukio la huzuni?Kumfumania mai waif wangu na shamba boy,hivi wanawake mkoje? (Shamba boy mwenyewe anaitwa kongosho),kidogo niue.
  6.Tukio la furaha? Nyani Ngabu alivyopigwa chini na mkewe,alimfumania na hausgel.
  7.Rangi za nguo? Bishanga ni mtu wa white,white underwear,white singlet,white henkachif.Sipendi jeans.
  8.Msosi? Mi ni mtu wa serena,karambezi,hyatt....na huko mi ni kufakamia mi prawns,rare steak,ma caviar, of course nasukumia na wine za ukweli,jioni henken.
  9.Zinduna bana,el presidaa niko naye deile,mi ndo chif advaisa wake mambo ya uchumi,biashara na mifweza.
  10.Legacy? Do i really need to have a legacy? Basi legacy yangu itakuwa kumshawishi Husninyo arudi jamvini.
  Nimalizie kwa kusema mgeni wako ajaye naomba awe Lizzy tafadhali,kuna neno nataka kusikia toka mdomoni mwake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Bishanga ni mhaya pyua,full time kula ndizi.
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahaha. . .Bishanga unalo!!!Mume wangu ataniruhusu sasa kushiriki?!

  Nwy ntarudi kusoma majibu ya maswali uloulizwa. Na kwa kuongezea embu ujulishe umma kwanini humpendi naniiii....!!!
   
 9. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaaa uwiiiiiii ngoja hao wote uliowataja waje hapa kama hujaiona wikiendi mbaya wallaih.......kutokana na maelezo yako kweli we muhaya mtu hawezi kujiuliza mara mbili lol
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Si akuache?
  Akikuacha nitampenda fo shua.
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mi ndo bishanga abashaija bana bilionea la kihaya!
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  You are my role model...
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,519
  Trophy Points: 280
  Zinduna na mimi mtanipa lini air time?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  bishanga, Unga Ltd unafuata nini?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  afu mkeo huwa ananililia.
   
 16. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  I'm too smart for this!
   
 17. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Bishanga ...mahojiano yanaendelea,
  1. Je una watoto wangapi katika ndoa zako za mduara?
  2. Je katika ndoa zako zote, ni ipi ulidumu nayo kwa kipindi kirefu zaidi?

  Maswali mengine yatafuata
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Saint Ivuga Wiki ya mwisho ya mwezi ujao, stay tune
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  sobhuza Baada ya ya Lizzy utafuata wewe, jiandae kukaa kikaangoni (Siyabonga Mfana)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Aniache ili iweje sasa?
   
Loading...