zinduna anatafutwa na familia yake mpwapwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

zinduna anatafutwa na familia yake mpwapwa.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by figganigga, Aug 1, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,317
  Likes Received: 4,775
  Trophy Points: 280
  Kuna baba yake mdogo alihojiwa na kipindi zamaradi mtetema na kusema anamtafuta zinduna. kwao ni mpwapwa dodoma. Zinduna mwenyewe sasa hivi anajiita shamsa kwenye movie za bongo anaishi ilala. mara ya kwanza alijitambulisha kwamba amekua kwa shida sana lakini huyu baba ake kakanusha kwani anasema alitoroka kutoka dodoma na alitoroka shule na kuja dar wala hakufikia kwa ndugu. So ndugu zake wakaja kumuona take one clouds tv sasa ndo wamemfuata dar. zinduna rudi nyumbani bana. Mia
   
 2. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hawaja mpata tu bado mana juzi alikuja kwangu usiku nikakataa kumfungulia mlango
   
 3. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mara ya mwisho nilisikia yupo sitimbi kwa bb siti kufunda.
   
 4. salito

  salito JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,170
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Hawa watoto wetu wa siku hizi MUNGU walinde..
   
 5. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,689
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Zinduna unatafutwa.
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,317
  Likes Received: 4,775
  Trophy Points: 280
  sijui yupo wapi aisee!. Mia
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,187
  Likes Received: 4,200
  Trophy Points: 280
  Zinduna yule wa zamaradi siyo zinduna wetu wa jf,
  kale katoto kalianza mchezo mapema huko kijijini kwao,
  shule imemshinda japo alikuwa anasomeshwa bure na mashirika na msaada,
  sasa ameamua awafuate mapapaa wa bongo.

   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Ndo maana hata talkshow yake amesitisha!,kumbeee!
   
 9. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  za siku Erotica,me miss you kwa sana.
  ukimwona Zinduna mwambie apunguze umbea kha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...