Zinc: I have revealed my identity

zinc

JF-Expert Member
May 24, 2013
1,392
1,066
Wakuu JF,

Na imani mpo salama, watu wamekuwa wana shauku ya kufahamu flani ni nani? Sasa kuna wakati hata pm zinajaa, maswali mengi ni ww ni nani?

Naomba niweke picha ndogo tu ambayo nina imani itapunguza mjazano pm.

AAEAAQAAAAAAAAjZAAAAJDllY2EwNzRiLWU3NjgtNGZjZS1hMzE3LTBkNDVhYTY4MjhjOQ.jpg
 
Wakuu JF,

Na imani mpo salama, watu wamekuwa wana shauku ya kufahamu flani ni nani? Sasa kuna wakati hata pm zinajaa, maswali mengi ni ww ni nani?

Naomba niweke picha ndogo tu ambayo nina imani itapunguza mjazano pm.

View attachment 525395
kwakweli kutabasamu inahitaji kozi ya muda mrefu,
 
Ni mjasiriamali Mali, nina miaka 32, mwanazuoni miaka 6 iliyopita, sina mke and finally sina kids. Professional yangu ni businesses consultant, experience 3 years
Kwa maelezo haya werevu tumeshakuelewa na kizuri zaidi picha umeambatanisha.

Ni mjasiriamali Mali, nina miaka 32, mwanazuoni miaka 6 iliyopita, sina mke and finally sina kids. Professional yangu ni businesses consultant, experience 3 years
 
Ni mjasiriamali Mali, nina miaka 32, mwanazuoni miaka 6 iliyopita, sina mke and finally sina kids. Professional yangu ni businesses consultant, experience 3 years

Basi haya. Unaishi wapi mjini na ujasiriamali wa nini
 
Vipi kuhusu yule binti wa JF aliyekusingizia mtoto huku akiwa bado unampenda na anakupenda, mmeshatengana?
 
Ni mjasiriamali Mali, nina miaka 32, mwanazuoni miaka 6 iliyopita, sina mke and finally sina kids. Professional yangu ni businesses consultant, experience 3 years
Wakuu JF,

Na imani mpo salama, watu wamekuwa wana shauku ya kufahamu flani ni nani? Sasa kuna wakati hata pm zinajaa, maswali mengi ni ww ni nani?

Naomba niweke picha ndogo tu ambayo nina imani itapunguza mjazano pm.

View attachment 525395
unasmile nzuri ila una kaukatili fulani kwa mbali
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom