Zimesalia siku 60 tu ili mambo yafuatayo yatimie

Jeho

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
5,053
5,503
Baada ya siku 60 kuanzia leo, mambo yafuatayo yatatokea kwangu mimi Handsome wa mama.
1. Nitaapishwa rasmi kuwa waziri wa upuuzi na mipango ya gafula gafula.
2. Nitatunukiwa PHD ya heshima hivyo nitakuwa "the empty professor".
3. Nitapata file ambalo litakuwa halijafunguliwa na mtu, hivyo basi mimi ndiye nitakuwa wa kwanza kulifungua.

4. Nitazindua rasmi kauli mbiu ya "study bible as you live forever and pray as you die at the moment you are praying".
Ni mambo hayo manne tu ndiyo yatatokea kwangu handsome wa mama ndani ya siku 60 kuanzia leo.
 
Lazima utahitaji msaada maana hakuna kitu kigumu kama Upuuzi Management, nilipelekwa Uingereza kusomea hii kitu, afu kuhusu empty profesa lazima kitu cha kwanza uwe komplikated, sasa wa kuku uncomplicte hiyo kozi niliipata china

Lazima uwe na msaidizi

Sihitaji maana kabla ya kulifungua hilo faili nitalisafisha mwenyewe
 
Huna haja ya kutoka povu, hujui limtokalo mtu kinywani ndio lijazalo mawazo yake.
Naye ndo kaona hiyo koment inafaa hapa.
Gravitation can calculate the motion of heavenly bodies not the madness of people.

Nahisi wa kwanza ni wewe.
 
Lazima utahitaji msaada maana hakuna kitu kigumu kama Upuuzi Management, nilipelekwa Uingereza kusomea hii kitu, afu kuhusu empty profesa lazima kitu cha kwanza uwe komplikated, sasa wa kuku uncomplicte hiyo kozi niliipata china

Lazima uwe na msaidizi

Kongosho bwana mhhh, kabla sijakukaribisha kunisaidia ufunguzi wa faili, unajua kwanza file ninalozungumzia ni kitu gani.
 
Does it matter, mchagua jembe si mkulima.
Mie mradi napanga tu, chochote ntapanga na kupangusa.

Kongosho bwana mhhh, kabla sijakukaribisha kunisaidia ufunguzi wa faili, unajua kwanza file ninalozungumzia ni kitu gani.
 
Paaaaaah! Limekupata wa kwanza who tha next

Nahisi hujatia kitu tumboni mpaka muda huu, halafu ni kwa nini maneno yako unayoandika humu ni kama ya mwanamke malaya? Anyway kale kwanza ndo uje uchangie.
 
Hakuna kitu kinanifurahisha kama upuuzi, yaani hutumii kabisa akili.
Hata siku unaamua kuuza kuuza ubongo unauza bei ya juu maana hauko used sana.
 
Back
Top Bottom