Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Habari tajwa hapo juu zilibamba Sana hasa miezi ya hivi karibuni, suala la Makonda ndo lilikonga nyoyo za vyombo vya habari, zikaja habari za Madawa ya kulevya, zikapotea, hivi majuzi mambo ya Makinikia na hata Watanzania wasiojielewa wakaingia road kuandamana kumpongeza JPM Kwa suala la Makinikia wakati hata matunda ya uzuiaji huo hatujayaona wengine wanaenda kupongeza.
But ghalfa naona habari za Makinikia zimepotea
Now kuna kiki ya ndugu Singasinga na Rugemalila wa Escrow
Ukiangalia Kwa haraka haraka utagundua utawala huu ni wa matukio na kiki hakuna la maana linalofanywa na watawala zaidi ya kuunda matukio na kiki
Kwa hali hii nchi itaendelea Kuwa maskini tu na hii Sera ya viwanda itafeli Tu coz serikali imekalia kiki za kisiasa na kuunda Una matukio ili kutafuta umaarufu.
OVA