Zimepotelea wapi habari za Makonda, Madawa ya kulevya, Makinikia na ACACIA?

Habari tajwa hapo juu zilibamba Sana hasa miezi ya hivi karibuni, suala la Makonda ndo lilikonga nyoyo za vyombo vya habari, zikaja habari za Madawa ya kulevya, zikapotea, hivi majuzi mambo ya Makinikia na hata Watanzania wasiojielewa wakaingia road kuandamana kumpongeza JPM Kwa suala la Makinikia wakati hata matunda ya uzuiaji huo hatujayaona wengine wanaenda kupongeza.

But ghalfa naona habari za Makinikia zimepotea

Now kuna kiki ya ndugu Singasinga na Rugemalila wa Escrow

Ukiangalia Kwa haraka haraka utagundua utawala huu ni wa matukio na kiki hakuna la maana linalofanywa na watawala zaidi ya kuunda matukio na kiki

Kwa hali hii nchi itaendelea Kuwa maskini tu na hii Sera ya viwanda itafeli Tu coz serikali imekalia kiki za kisiasa na kuunda Una matukio ili kutafuta umaarufu.
OVA
Ndugu,,,utaona kama zimezimika,la hasha zinazungumziwa MIYOYONI.

Hii ya kuzungumzia moyoni ni mbaya kuliko ya kupiga kelele.

Usifurahi kuona hayazungumzwi,bali sikitika sana maana hujui kinacho zungumzwa moyoni ni kipi

PERIOD
 
Utakuwa na akili fupi sana ukizani vimesahaulika.

Jiulize,ishu ya Escrow,je ni juzi ndio iliibuliwa?

Ili ibuliwa na Kafulila na akina zitto yakapotea lakn juz yameibuka na kuburuza watu mahakamani
 
Siko hapa kubishana. You either take it or leave it, but the repucussion kwenye uchumi wa nchi will be remarkable. I have been dealing with Rich Asians since 2010. I know them, hawa watu ni waoga sana. Hata wakati wa uchaguzi 'wote' walihama nchi. Walienda Uingereza na Asia wakisikilizia uchaguzi upite. Since Sept to Dece 2015 the Asian controlled economy was frozen, and since then the liquidity in the market has never recovered...
Unachanganya sana lugha. Sijui kwa nini.
 
Habari tajwa hapo juu zilibamba Sana hasa miezi ya hivi karibuni, suala la Makonda ndo lilikonga nyoyo za vyombo vya habari, zikaja habari za Madawa ya kulevya, zikapotea, hivi majuzi mambo ya Makinikia na hata Watanzania wasiojielewa wakaingia road kuandamana kumpongeza JPM Kwa suala la Makinikia wakati hata matunda ya uzuiaji huo hatujayaona wengine wanaenda kupongeza.

But ghalfa naona habari za Makinikia zimepotea

Now kuna kiki ya ndugu Singasinga na Rugemalila wa Escrow

Ukiangalia Kwa haraka haraka utagundua utawala huu ni wa matukio na kiki hakuna la maana linalofanywa na watawala zaidi ya kuunda matukio na kiki

Kwa hali hii nchi itaendelea Kuwa maskini tu na hii Sera ya viwanda itafeli Tu coz serikali imekalia kiki za kisiasa na kuunda Una matukio ili kutafuta umaarufu.
OVA
Endelea tu kubeza na kupinga,ndio njia mloiamua kuifuata,sie tunafanya kazi tu
 
Mkuu, kwa vyevyote vile CCM itashinda tu hiyo2020! Unajua kwa nini? Mradi wa treni mpya ya umeme ya kwenda Morogoro utakamilika mwezi wa 10 mwaka 2019. Miradi ya umeme ya REA ya mikoa kama mitano hadi saba itakamilika 2019, Miradi ya ujenzi wa nyumba za Magomeni itakamilika nadhani kama sio mwishoni mwa 2018, basi itakuwa 2019. Kwa hiyo kwa kiki zitakazopatikana kutokana na ukamilifu wa miradi, wananchi watasahau kabisa shida walizo nazo na tumaini jipya litaamka... Hawa jamaa sio watu wa kisport sport...

Which means kwamba ccm inaungwa mkono na wajinga
 
Wamefanya kiki zote ila ya Kibiti sio kiki na ndo inawatoa jasho
 
Kila jambo na wakati wake!
Kila masika na Mbu wake!
Nothing will stay there forever!
Kila chenye Mwanzo hakikosi kua na Mwisho yaan hata huu Uzi wako utapita km stori ya Bashite
 
Siko hapa kubishana. You either take it or leave it, but the repucussion kwenye uchumi wa nchi will be remarkable. I have been dealing with Rich Asians since 2010. I know them, hawa watu ni waoga sana. Hata wakati wa uchaguzi 'wote' walihama nchi. Walienda Uingereza na Asia wakisikilizia uchaguzi upite. Since Sept to Dece 2015 the Asian controlled economy was frozen, and since then the liquidity in the market has never recovered...
Mandela alisema waacheni wazungu wafanye biashara zao maana alijuwa kama mulilegezea mukawaacha wa asia wakatajirika unakata mzunguko wa pesa mara moja bila mipango madhubuti unategemea nini nitamlaani Kikwete mpaka siku ya kufa kwangu kwa kutuletea mtu asiye hata lepe la maono ya kiuchumi
 
Which means kwamba ccm inaungwa mkono na wajinga
The commoners are many. Unajua masikini wengi ni walalamishi ila ni watu ambao hawana makuu! Wameshaishi kwenye hali ya kupigika miaka mingi sasa vyovyote vile wao wanaona sawa tu!

Back
Top Bottom