zimebakia fremu nne na ware house moja bei bwerere manzese midizini

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
755
468
jamani nilitangaza kua kuna fremu ninazipangisha maeneo ya manzese midizini na godown sasa zimebakia fremu nne na godown moja bei za fremu ni 160,000 na warehouse ni mil moja na laki sita 1,600,000 kwa maelezo zaidi 0712-212220
 
kwa mwezi mjomba ni kubwa inageti ya kuzamisha semi trailer yote zaidi njo uione mwenyewe!
 
jamani nilitangaza kua kuna fremu ninazipangisha maeneo ya manzese midizini na godown sasa zimebakia fremu nne na godown moja bei za fremu ni 160,000 na warehouse ni mil moja na laki sita 1,600,000 kwa maelezo zaidi 0712-212220

hiyo frem ni kubwa kiasi gani, inafaa kwa bar??
 
hatupangish kwa biashara kharam
<br />
<br />
Biashara kharam kivipi manake mie ninavyoelewa bar inalipiwa kodi kihalali na inatambuliwa kisheria.
Haya mambo ya kupanga nyumba kwa waswahili shida sana unamlipa hela yako kodi ya pango kihalali halafu anaanza kukuchagulia biashara ya kufanya huo ni upumbav kabisa.
Kuna msemo unaosema kama umeamua kuolewa sharti ufanye nini?Basi kama unapangisha ruhusu biashara zote ili mradi hazivunji katiba ya jamhuri ya muungano.
 
Tatizo ww una uelewa mdogo na b mchanganuzi cjamaanisha kharamu kwa serikali bali dini ndio unayoniongoza kujua halal na kharam na ukitafsiri maana ya dina ni mfumo wa maisha ya binaadam hivyo hata ww una dini kwa sababu ya mfumo maisha yako mm ni muislam na cjui ww ni dini gani ila nitafuata muongozo wa dini yangu wala ctofuata miongozo ya kubuni kama mfumo wako wa kuuza kharamu kwetu cc pombe ni kharamu na mwisho dini haitaki ufuate baadhi ya mambo tu bali uifate mzima
 
Pia serikali haina dini ila watu wake wana dini hata huyn raisi wako anaekuongoza ana dina na anatambua kua biashara ya pombe ni kharamu ila serikali ndio inaona kua c kharamu mana serikali haina dini
 
unipangishie fremu kwa bei yote hiyo halafu unipangie biashara ya kufanya
why dont u open those urself those business u think siyo kharam. waswahili bwana
 
Sidhani kama mwenye mali anampangia mtu biashara ya kufanya, ila ana masharti na mali yake kama kulivyo na masharti kwenye upangaji wa nyumba au ukodishaji wa gari. Kwa hiyo waungwana kuweni waungwana wa kweli na fanyeni heshima katika biashara za watu. kama mtu anapangisha sehemu yake na unaona haikufai tafuta kwengine. kwake haruhusu na sababu amewapa.
 
nilikua na maana ya kusema 16 square meter ila nijasoma so ndo umenipa mawazo nikaweza kupresent inavyotakiwa wanaadamu hatujalingana tumetofautiana wewe una elimu kuliko mimi!
 
nilikua na maana ya kusema 16 square meter ila nijasoma so ndo umenipa mawazo nikaweza kupresent inavyotakiwa wanaadamu hatujalingana tumetofautiana wewe una elimu kuliko mimi!


sasa ninatumaini kwamba mteja anayehitaji kukodi fremu ya biashara kwako atakuwa na uelewa mzuri wa ukubwa wa hiyo fremu .... ukubwa wa eneo .... hiki ni kitu muhimu sana unapokuwa unahitaji eneo la biashara au shamba au kiwanja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom