Zimebaki siku ngapi za kina Zitto?

Status
Not open for further replies.
Mnaouliza hili jambo weng vichwa vya panzi,kwani kuna sehemu walisema kuwa katika hizo siku kumi na nne watakuwa wametoa maamuzi,kama kuna mtu ana nukuu ya aina hiyo aiweke hapa ndo tuendelee kujadili.
kimsingi na nijuavyo mimi,walipewa siku 14 za kuwasilisha utetezi wao,ambapo wamefanya hivyo.utetezi nadhani lazima upitiwe kwanza na kufuata taratibu zote kwa mujibu wa katiba ya chama.kwa hiyo HAWAKUPEWA SIKU 14 ZA KUFUKUZWA!
 
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea
Kwa hiyo kwa akili zako Zito bado naibu katibu mkuu na Kitila na Mwigamba bado viongozi
 
kama wewe ni mtu wa kulelewa utakuwa umenielewa nimekwambia maswala ya siasa yajadiliwe kisiasa kuanza kumkebehi mtu sababu ya mapungufu yake ya kimaumbile sababu ya ushabiki wa kisiasa si jambo jena hata siku moja huwezi niona namnanga mtu kwa kilema alicho nacho hata kama ni waccm ,cuf,au chadema na kama ukiendekeza hilo utajibiwa kwa mifano dhahir .kama ni matusi tukana,kama ni maneno ya dharau,kejeli etc yaseme lakini si kusemea mtu kwa mapungufu ya kimaumbile aliyo umbiwa, kuwa muelewa wewe zuzu usijifanye mjuaji kwa kutaka sifa za kijinga hapa jukwaani hujafa hujaumbika zuzu wewe.

Majibu ya hekima kama haya ndio tunayoyahitaji humu,ni sawa kwa muuliza swali kupata majibu aliyouliza kama hizo siku 14 zimefika na hakuna taarifa yoyote kutoka kwa watoa siku14 kuwa waliopewa hizo siku 14 ni kweli wamejibu ndani ya muda waliopangiwa ? na kwamba tumezipokea baada ya muda fulani tutawapa majibu yake na hasa ukizingatia wapewa muda na watoa muda waliita waandishi wa habari wakati wakutoa taarifa hizo ambazo zinazotufanya mpaka leo tuzijadili humu ndani
 
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea

Mtoa hoja weka kumbukumbu zako sawa siku 14 zilitolewa kwa watuhumiwa wawe wamewasilisha maelezo yao. Hapakutajwa siku 14 ndo maamuzi yatatolewa.
 
kimsingi na nijuavyo mimi,walipewa siku 14 za kuwasilisha utetezi wao,ambapo wamefanya hivyo.utetezi nadhani lazima upitiwe kwanza na kufuata taratibu zote kwa mujibu wa katiba ya chama.kwa hiyo HAWAKUPEWA SIKU 14 ZA KUFUKUZWA!

Majibu yako ni mazuri nadhani tatizo hapa ni Taarifa ya kuwa tumepokea majibu ya waliopewa siku 14 tunayafanyia kazi na baada ya muda fulani tutawapa taarifa ya maamuzi ya chama nadhani muuliza swali alikuwa anahitaji taarifa tu yakupokelewa kwa majibu hayo kwa kuwa muwasilisha majibu alitoa Taarifa ya kujibu ndio maana alitegemea chama kitoe taarifa ya upokeaji wa majibu hayo kama walivyofanya wakati wa kutoa taarifa ya siku 14 kupewa majibu kwa waandishi wa habari
 
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea

kawaida muungwana humuongezea mkosaji muda hata kama ni wakulipa deni.
 
CCM baana..na akili za kubemendwa. kwani rufaa aliyokata imeshaskilizwa? kabla hujapost thrd jaribu kuwasiliana na nape...
 
Hoja zilizo jibiwa ni ngumu mmno, jamaa bado wanatafakari watoke vp.

hebu tupatie hata hoja moja tuone ugumu wake? jamaa kakata rufaa anahaki ya kuskilizwa tena...as smple as that...tafakari chukua hatua..acha kutumika.
 
kakata rufaa..lazma askilizwe...vp lakn zile sku alizotoa nape kwa mafisadi kujiondoa ccm bado hazijaisha?

Rufaa? bila hukumu? hiyo hukumu ilitolewa lini hata yeye akate rufaa?

Uongo ukizidi huwa mnajidanganya wenyewe. Hayo ndio madhara ya uongo.
 
kawaida muungwana humuongezea mkosaji muda hata kama ni wakulipa deni.
Hebu vuta picha hili tukio lingekua ccm cdm ndo wengejua ni muda muafaka kwa wao kuchukua point tatu muhimu maana mara nying sana wameonekana kukinyooshe vidole chama tawala hususani kinapochelewa kutoa maamuzi mazito kama yale ambayo wao wangepaswa kuyafikia kwa muda mfupi kama ilivyokusudiwa mwanzoni mwa tukio hili waacheni wasuesue hawajui ndo wanapoteza point zao
 
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea

We subiri cheche
 
Naona haina tofauti na ile ya Nape ya kuvua gamba ambayo hadi leo hatujaona Kama imetekelezwa!! Siasa balaaaa!!

hii haiwezi kufananishwa na ya ccm, tunapaswa kuhesabu siku 14 tangu mtuhumiwa alipopewa barua na siyo ilipotangazwa halafu siku 14 zikipita watakaa kupitia utetezi wao na kutoa maamzi..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom