Zimebaki siku ngapi za kina Zitto?

Status
Not open for further replies.

Kizibo255

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
508
367
Jamani wadau kwa cc tulio mbali kdg na access za mawasiliano, naomba kujua zimeki ngapi kati ya zile 14 alizopewa zzk na mkumbo? Nawasilisha!
 
jamaa yupo kwenye mchakato kufungua ka-chama kake awe mwenyekiti.
 
Jamani wadau kwa cc tulio mbali kdg na access za mawasiliano, naomba kujua zimeki ngapi kati ya zile 14 alizopewa zzk na mkumbo? Nawasilisha!

21 Nov hadi 1 Dec ni siku 10. Leo tarehe 6, nadhani kwa HISABU ya kawaida zimeisha!
 
Hadi sasa biashara ya Zitto na Kitilla imekwisha,sasa misifa yao, yao dhidi ya CCM inaanza watafuna haswa.Watakuwa busy sana na viporo vyao hivi for the rest of their political careers .

CDM wanahitaji uvumilivu tuu, tayari vijana wameshapata kimarua ambacho ni endelevu.CCM watajitetea kwa kuwaangamiza kabisa n akuwafuta ktk ratiba ya nchi.
 
Fanyeni kazi acheni kumfikiria zitto... Dogo yeye anapiga hela tu
 
CDM hawana ubavu wakumfukuza Zitto chamani, yale yalikua maneno ya kwenye khanga tu.
 
Hadi sasa biashara ya Zitto na Kitilla imekwisha,sasa misifa yao, yao dhidi ya CCM inaanza watafuna haswa.Watakuwa busy sana na viporo vyao hivi for the rest of their political careers .

CDM wanahitaji uvumilivu tuu, tayari vijana wameshapata kimarua ambacho ni endelevu.CCM watajitetea kwa kuwaangamiza kabisa n akuwafuta ktk ratiba ya nchi.
nadhani ukimsikia ZZK Unapatwa na kiharusi. huwezi kumlinganisha na mungu wenu DJ MAKENGEZA.
unatamani awe amekwisha!! lakini nakuhakikishia ngoma bado mbichiiiiiiiiiiiiiiiii. stay tuned chaga bwoy.

NANUKUU MANENO HAYA YA ZZK
''''mwisho wa uoga ni aibu.siasa za uongo hazilipi. lazima mtu mmoja ajitoe muhanga kukomesha siasa za uongo na utungaji hekaya.nimeamua kuchukua wajibu huo kuokoa nchi kutoka kwenye makucha ya siasa za uongo,uzushi na uzandiki.IWE FINDISHO KWA VIFARANGA NA MAMA ZAO. mabadiliko ni hoja na kuzisimamia hoja za umma na sio utungaji wa hekaya dhidi ya ya washindani wako kisiasa- ZITTI ZUBERI KABWE(mb kigoma kaskazini)''''
wewe ni kifaranga cha kichaga kitakachoangamia sambamba na mama zenu na wale wanaowasujudia
 
21 Nov hadi 1 Dec ni siku 10. Leo tarehe 6, nadhani kwa HISABU ya kawaida zimeisha!

Barua alipewa lini? siku zinaanza kuhesabika tangu siku alopokea barua ndo maana yule wa arusha anakwepa kwepa. Wamepewa siku 14 wajieleze then kamati kuu itakaa iwavue uanachama kama vipi.
 
malipo ni hapa hapa dunia ..ya ZITO yamesahaulika tangu majuzi...CDM inasonga mbele....ccm ipo mtaani kugawa fedha kwa mamluki ili kutimiza hazma yao.
 
Wakuu,
Kuna yeyote mwenye kufahamu ukomo wa muda waliopewa hawa jamaa kujieleza kwa kamati kuu ya CDM?? Siku 14 zinaisha lini??
Asanteni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom