Jamani wadau kwa cc tulio mbali kdg na access za mawasiliano, naomba kujua zimeki ngapi kati ya zile 14 alizopewa zzk na mkumbo? Nawasilisha!
Basi watakua wanamuogopa.21 Nov hadi 1 Dec ni siku 10. Leo tarehe 6, nadhani kwa HISABU ya kawaida zimeisha!
nadhani ukimsikia ZZK Unapatwa na kiharusi. huwezi kumlinganisha na mungu wenu DJ MAKENGEZA.Hadi sasa biashara ya Zitto na Kitilla imekwisha,sasa misifa yao, yao dhidi ya CCM inaanza watafuna haswa.Watakuwa busy sana na viporo vyao hivi for the rest of their political careers .
CDM wanahitaji uvumilivu tuu, tayari vijana wameshapata kimarua ambacho ni endelevu.CCM watajitetea kwa kuwaangamiza kabisa n akuwafuta ktk ratiba ya nchi.
CDM hawana ubavu wakumfukuza Zitto chamani, yale yalikua maneno ya kwenye khanga tu.
Basi watakua wanamuogopa.
21 Nov hadi 1 Dec ni siku 10. Leo tarehe 6, nadhani kwa HISABU ya kawaida zimeisha!
jamaa yupo kwenye mchakato kufungua ka-chama kake awe mwenyekiti.
Zitto mwenyekiti wa mioyo ya wapenda democrasia
Zitto mwenyekiti wa mioyo ya wapenda democrasia
Zitto mwenyekiti wa mioyo ya wapenda democrasia