Uchaguzi 2020 Zimebaki siku 31 za kupiga kampeni, sijamuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM

KASUSA kwa kukatwa uRC, Ubunge na kukataliwa kukaa jukwaa la wahuni wenzie.

Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.

Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?

NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.
 
Mmemsahau yeye huwa mtu wa kufaidi jasho la wenzake tu. Acha wahangaike na campaign shavu lake lipo.
 
Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.

Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?

NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.
Ungekuwa mgombea ungekubali akunadi jukwaani?
 
Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.

Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?

NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.
Yuko na mwana Kawe
 
Back
Top Bottom