Zimebaki siku 30 Diamond Platinumz na Zari kulitikisa jiji la Dar es Salaam na nchi nzima

Kweli Zari ana nyota yake ya kupendwa.. kamdisi jamaa na habari zao wawili humu hadi leo hata hazijapita kurasa mbili.. Mondi atalia jamani
 
Diamond Platnumz si ndio Joseph Kusaga..?

Ndo huyo huyo, kale kajamaa domo a.k.a. mtoto wa Tandale ni kivuli tu. Tena Kusaga katoa bonge la kolabo na mwanamuziki fulani hivi jina limenitoka. Kusaga kachana mistari ya uhakika ila muziki wenyewe ni wa kijinga kwa sababu beats zote ni za Kinigeria na South Afrika, hakuna beats za kibongo hata moja.
 
hahahahahaha
 
Eti historia, kwani hayo matamasha hayajawahi kunyika kabla kwamba dmond ndio anakuwa wa kwanza kufanya matamasha?

Hebu acheni kuteka watu akili nyie, hivi zari na dmond wao wametoka mbinguni au mapenzi yao nitofauti na watu wengine?

Mbona watu mnapenda kukuza mambo yasiyo na ukubwa huo, this is another shit hole
 
Back
Top Bottom