Zimbabwe yazuia uingizaji wa magari yenye MIONZI kutoka Japan. Sasa kupitishiwa Dar

kichwat

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
1,819
587
Zimbabwe yakataa kuwa dampo la magari yenye mionzi hatari, Tanzania vipi? Tumejipangaje? Ni wiki iliyopita tu (watu) walikuja bandarini kwetu soma hapa: http://allafrica.com/stories/201203130249.html
 
acha wabongo tuendelee kuteketea kwa mionzi ya nuclear ya Fukushima na hii serikali yetu sikivu
 
Back
Top Bottom