Zimbabwe: Wachimbaji wawili wa dhahabu wafariki, wengine 20 wanasa chini ya ardhi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1581069653676.png

Wachimbaji wawili wa dhahabu wamekufa na wengine karibu 20 wamenaswa chini ya ardhi nchini Zimbabwe baada ya miamba ya migodi nchini humo kuporomoka.

Watu hao walikuwa wakifanya kazi kinyume cha sheria katika mgodi wa dhahabu wa Globe na Phoenix katika mji wa kati wa Kwekwe, uliopo kilometa 200 magharibi mwa mji mkuu, Harare.

Mgodi huo ulifungwa mnamo 2007 kwa ushauri wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira nchini humo.

Mchimbaji aliyeokolewa katika ajali hiyo alikimbizwa katika Hospitali Kuu ya Kwekwe akiwa katika hali mbaya.

Source: ITV

=====
Police spokesman Paul Nyathi said the miners have been trapped since Wednesday when they entered the night shift at the gold mine near the city of Kwekwe.

Operators were first alerted early on Thursday after the miners failed to surface at the end of their shift.

"We received the news about the unfortunate incident a few hours ago and we are running around coordinating a rescue mission," the chair of provincial civil protection unit, Fortune Mpungu, told The Herald newspaper.

1581069611078.png

In February last year, dozens of artisanal miners were trapped after tunnels flooded in the west of the Zimbabwean capital, Harare. Twenty-four bodies were later recovered and eight people rescued.

Fears remained that many others remained underground because the unregulated nature of the mining made it difficult to account for everyone.

Mining is often carried out by ill-equipped artisanal miners who sometimes invade abandoned mines. They are often trapped underground.

Mining is a major source of foreign currency for Zimbabwe, a country grappling with a major economic crisis.

The Southern African country is home to vast gold and mineral reserves, including diamonds and platinum.

Source: Al Jazeera
 
Back
Top Bottom