Zimbabwe Waachiwe Wenyewe-mbeki

TAIKUBWA

Senior Member
Jan 20, 2008
115
1
Ndugu zanguni habarini za jumpili na kwawale ambao hawajaiona bado nawatakia jumapili njema,,nimesikitika sana kusoma gazeti moja likisema bwana mbeki amesema wazimbabwe waachiwe wenyewe..
bado najiuliza mtu mwenye heshima kama huyu ambae watu walimheshimu kwa kumteua aje kusimamia mambo ya amani ,,matokeo yake anadiriki kusema wazimbabwe waachiwe wenyewe....labda alikuwa aana maana nyingine nina machache kidogo imediriki nipate ufafanuzi je

\1))))HUYO RAIS WA AU HAONI UHUNI UNAOTENDEKA ZIMBABWE MPAKA SASA HIVI,,,AU ANASUBIRI WAITWE WAKINA ANNAN THEN WAKISHAMALIZA AENDE KUPIGA NAO PICHA NA KUSEMA ALISHIRIKI KATIKA AMANI....RAISI WA AU INABIDI AANGALIE SANA KATIKA HILI,,,TUMEONA AMEJARIBU KUINILIA SWALA LA COMORO NA WATU WAMEONA KILICHOFANYIKA,,,SASA SWALI JE ANATAKA HUYU MZEE WA MDC AJE KUMNYENYEKEA KAMA ALIVYOKUWA RAISI WA COMORO AKIJA KUOMBA MSAADA

2))HUYU MBEKI WAKATI AKISEMA HIVYO NA KAMA SI WATU KUINGILIA AMANI YA S.AFRICA JE ANGEUPATA HATA HUO URAISI????KAKA YANGU MBEKI MUWE NYUTUROOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO JAMANI KABISA KWA HILI NAWAJULISHA MTAKUFA MMEFUNGUA MIDOMO WAZIIIIIIII KAMA MTAKUWA MNBAGUA HAPA TUKATAFUTE AMANI HAPA WAACHIE WENYEWE HAPA TUPELEKE NYUKI........

WAHESHIMIWA TUNAOMBA TULIANGALIE HILI NATUMAINI MBEKI ANJUA KISWAHILI NA ANASOMA JF HIVI SASA...TUNAOMBA HOJA YAKE....

CHIEF KASELELI
 
Inanikumbusha mwaka jana nilirudi bongo nikiwa pale masaki bar moja inaitwa ngarden bistrol siuji kama bado ipo... kulikuwa na msikaji anatangza uchumba mhaya katika kugawa vinywaji tukaona bia kila mtu,,whisky wine upande maalum mara nnikasikia iweee upo bwana ,,hee na nyie wagawaji angalien msiharibu wareee wape bia bwana na pale wape kacoka nili ndipo na relate na huyu mbeki na shemeji yake kikwete wanavyosimamia amani....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom