Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
_42679999_morgan203i.jpg

Nimepata habari hizi kwa masikitiko makubwa kwamba Kiongozi mkubwa sana wa Upinzani Zimbabwe kapigwa na kudhalilishwa kufikia sasa kutishia maisha yake kisa madaraka .

Nampa pole ni sana yeye na MDC na Familia yake . Hapa chini naomba msaada wetu tafadhali . Je ni nini mahusiano ya ZANU PF na CCM ama nini tofauti zao ikifikia wakati wa madaraka na kunyamazisha Wananchi ?
 
Last edited by a moderator:
Unapopambana basi ujue mengi yatakufika na hii ni moja ya misukosuko ya mpambanaji.Kuhusu Uhusiano uliopo baina ya vyama viwili ulivyovitaja hapo ni kwamba kimoja kilitoa msaada na mchango mkumbwa kuhakikisha zimbabwe inakua huru when It comes to the power........ wote wanapenda watawale daima kwenye nchi zao..............................!
 
Lunyungu

Nimeongeza hiyo picha, watu waone hao ZANU PF walivyo.
 
Bob Mugabe amepiga marufuku mkusanyiko wa aina yoyote ya kisiasa. Hivi majuzi nafikiri umoja wa makanisa ulikuwa umeitisha ibada ya dini zote kuiombea Zimbabwe ipate nafuu kutokana na hali ngumu ya uchumi na maisha magumu waliyo nayo raia hasa ukizingatia kuwa sasa hivi inflation ni 1700% na noti zao zimekwihsa fanyiwa ukarabati mara kadhaa hivi ambapo safari fulani waliondoa sifuri nne nadhani, yaani iliyokuwa Z$100,000 ikawa Z$10, lakini kutokana na inflation rate waliyo nayo wakajikuta tena wananabeba mzigo mkubwa sana wa manoti.

Bwana Tsvangirayi alikwenda kuhudhuria ibada hiyo pamoja na viongozi wengine wote wa upinzani. Sasa kuonekana kwa bwana Tsvangirayi kwenye viwanja hivyo na kushangiliwa na wafuasi wake kukafanya askari wa Bob waone kuwa kile kilikuwa ni kikao cha kisiasa na ndipo wakavurumishwa. Nimesoma kuwa amepasuliwa fuu la kichwa.

Tabia ya vyama vyetu vilivyoongoza mapambano ya uhuru kudhani kuwa nchi ni mali yao kweli inaleta kasoro sana katika harakatinzima za kisiasa na kidemokrasia barani Afrika. Kenya, Malawi na Zambia walifanikiwa kuving'oa vyama hivyo kutoka madarakani kutokana na kushindwa kudeliver. Nchi ambazo bado tunakumbatia vyama hivyo ambavyo vimeshapitwa na wakati kweli tuna wakati mgumu.
 
Hivi hii ilikuwa ni amri ya serikali ya kumuua huyu jamaa ama ilikuwaje maana naona haya hainingii akili kwamba polisi wanampiga namna hii mtu kama vile ni mnayama . Je hawa polisi wana maisha gani ? Hii ni sawa na ile ya Lipumba kupigwa Temeke ?
 
Ninamaanisha mapambano yanaendelea ,kwani hata kama wamempiga huyo jamaa kwa kutaka kumnyamazisha lakini Kama ni kiongozi Shupavu ataendeleza MAPAMBANO BAADA YA KUPONA KWAKE.NAMTAKIA NAFUU YA HARAKA NA KILA LA KHERI KATIKA SHUGHULI ZAKE ZA KILA SIKU!
 
Bwana Tsvangirayi alikwenda kuhudhuria ibada hiyo pamoja na viongozi wengine wote wa upinzani. Sasa kuonekana kwa bwana Tsvangirayi kwenye viwanja hivyo na kushangiliwa na wafuasi wake kukafanya askari wa Bob waone kuwa kile kilikuwa ni kikao cha kisiasa na ndipo wakavurumishwa. Nimesoma kuwa amepasuliwa fuu la kichwa.


Kichuguu

Huyu jamaa hicho kipigo wala hakukipata hapo uwanjani kama wafuasi wengine wa MDC. Yeye akiwa kama mmoja wa viongozi wa chama alienda kituo cha polisi akiwa na mwanasheria wa chama ili kuwaombea dhamana. Ndipo alipopatia hicho kipigo kutoka kwa polisi wa Bob Mugabe.

Hali walipofikia wazimbabwe wasikate tamaa this is as low as it can goo...there shouldn't be anything to fear anymore. Nawatakia mapambano mema....na Mungu Awalinde.
 
Tanzania moves to revive Zimbabwe, Britain talks

2007-03-15 09:02:01
By Guardian Reporter


Tanzania`s Director of Intelligence, Rashid Othman, has held closed-door meetings with top Zimbabwean officials in an attempt to revive an initiative led by retired President Benjamin Mkapa to initiate dialogue between Zimbabwe and Britain.

Mkapa`s proposed mission seemed doomed last year over problems relating to the terms of reference but the Tanzania government, acting on Mkapa`s behalf, recently sent Othman to meet with senior Zimbabwean security officials ahead of a possible visit to Harare by the immediate former President.

According to The Zimbabwe Herald, Othman arrived in Harare on Monday last week and held talks the following morning with Zimbabwe�s intelligence chiefs, led by Central Intelligence Organisation head Happyton Bonyongwe.

Details of the meeting could not be immediately ascertained but the sources suggested that one of Othman`s aims was to seek assurances on Mkapa�s personal security and to explore common ground on the terms of reference for the talks.

It is believed that President Kikwete, who is thought to be close to President Mugabe, can convince the Zimbabwean leader to allow Mkapa to proceed with the initiative Mugabe himself unveiled in July last year.

Presidents Mugabe and Kikwete discussed the Mkapa initiative on the sidelines of the African Union Summit held in Addis Abba last month.

Zimbabwean presidential spokesman George Charamba was not immediately available to comment on the latest developments but it is understood that a major sticking point of the Mkapa initiative is funding.

A spokesman at the British High Commission in Harare yesterday flatly denied claims by the Zimbabwean government that Britain had refused to come to the negotiating table to repair relations which became strained after President Mugabe`s land reforms.

Joey Bimha, Zimbabwe`s Secretary for Foreign Affairs, told a parliamentary portfolio committee this week that Britain had refused to enter into dialogue with the southern African nation to heal the rift.

`If the other party is not willing to come to the negotiating table, what do you do?`Bimha told MPs.

But Gillian Dare, spokesperson for the British High Commission in Harare, said Zimbabwe had never invited Britain to any talks to improve relations.

`We have not been invited by the Zimbabwean government to talk,` said Dare in a press statement.

Bimha told Parliament that several European countries, which he did not name, had begun to appreciate that the fallout between Harare and London stemmed from a bilateral dispute over land.

However, Dare said: `We maintain diplomatic relations and embassies in each other`s capitals so we can talk to each other whenever needed. There is no bilateral UK/Zimbabwe dispute to be addressed. Our concerns about Zimbabwe are shared by many in the international community.`

`The UK remains a strong advocate of effective, well-managed and pro-poor land reform. The `fast track` land reform has not been implemented in line with these principles and has resulted in the abuse of the rule of law,` he said.

SOURCE: Guardian
 
Nasikia muungwana katia timu harare kwenda kurekebisha mustakabali wa kisiasa Zimbabwe,sasa sijui hatamudu Mugabe maaana nasikia Ben alishawahi kugonga ukuta baada ya kuulizwa msimamo wa kutaka kumpinga Mugabe ni wake ama ndiyo alioachiwa na JKN
 
Wazungu mimi siwaelewi. Upande mmoja wanamtetea Morgan, upande mwingine wanafanya biashara na Mugabe...teh teh teh....Waingereza bwana. Hawana adabu kabisa, ila kwa double standards ili wajiendeleze, nawaheshimu sana.
Jana sijui kama kuna mtu aliyeangalia news night; http://news.bbc.co.uk/1/hi/programmes/newsnight/6451619.stm. Wazungu wenzao naona wanaona tamaa deal zinakwenda UK by any means neccessary.
Hivi rushwa ni kosa kama unafaidisha nchi yako? Nauliza, kwasababu waingereza inasemekana wanafanya biashara na Mugabe kama kawa (and sometimes kupitia S.A.).
Morgan bonge la carrot mbele ya donkey!! Pole mzee.
 
Defunk,

Hiyo newsnight ndio ilinichosha kabisa, hivi kweli JK anavyojipiga kifua anategemea lolote toka kwa SFO? Halafu yule bosi wake alivyokuwa anajibu kwa kiburi. But it will boomerang, maana MI5 na MI6 wametoa nje claims kuwa investigation inge interefere na war on terror etc, bloody double standards, kwa wenzetu westeners kama wana special interest you can all go hang kama alivyosema bob mugabe.

On mugabe issue, hivi mimi wakati wote ninajiuliza why so much noise about mugabe? kwani hakuna mengine mabaya zaidi ya mugabe, like darfur, DRC, ivory coast, why the hell Zimbabwe? kwa sababu wale masettler ni waingereza, and I think thats why the rest of africa is quite.
 
JK was in Harare to defuse the situation, while meeting the press Mugabe said the west should go to hang themselves.
 
Kwa sababu ya kuwa issue yenywe ni International, naamini kuwa kutakuwa na posters au observers ambao wangetaka kujua about this special relationship between Zimbabwe and Tanzania...jana jioni kwenye Channel 4 news JOHN SNOW aliamua ku go all out on Mugabe during his press conference with JK.

Now lets talk about Zimbabwe, land reforms and how our close relationship with them can harm our "other" close relationship with the British government

discuss
 
Kwa sababu ya kuwa issue yenywe ni International, naamini kuwa kutakuwa na posters au observers ambao wangetaka kujua about this special relationship between Zimbabwe and Tanzania...jana jioni kwenye Channel 4 news JOHN SNOW aliamua ku go all out on Mugabe during his press conference with JK.

Now lets talk about Zimbabwe, land reforms and how our close relationship with them can harm our "other" close relationship with the British government

discuss

To be honest, whatever that relationship is (labda ueleze mkuu), it wont be affected. Peeps do business in their interest (especially wazungus, I wish we would do the same for national interests). Check this link;
http://observer.guardian.co.uk/world/story/0,,2000349,00.html
Barclays is a british insitution doing business in Zimbabwe. If the British had issues with doing business with Zimbabwe, they could in theory pressure the likes of Barclays. The British/Americans/Europeans (IMF/World Bank) could be passing money to S.A (or even Tanzania...hahaaa, who knows), then Zimbabwe takes a loan from S.A......in reality its business as usual. At the end of the day, with Zim in a mess, those working with Zim at the moment, could have the last laugh in the long run when Zim starts rebuilding. Wazungu wakitaka kumtoa Mugabe, potentially wanaweza, issue ni kwanini hawajafanya? Perhaps wakifanya hivyo nchi nyingi za kiafrika zitakuja juu? We huoni nchi za kiafrika zimetulia kuhusu Zimbabwe?
And as things go, wazungus are becoming more cautious in dealing with african countries, cos there is China as competition.

Amazing though the punchlines Mugabe comes up with. Hebu read the sarcasm on this;
http://www.mg.co.za/articlePage.aspx?articleid=300616&area=/breaking_news/breaking_news__africa/

"We don't have to go to IMF for that, even to any European donor, for what we can do between and amongst ourselves," Mugabe told a business meeting organised in Windhoek by the Namibian Chamber of Commerce and Industry.

"And when we start doing it on our own, you'll see them coming, saying 'Ah, you have a factory here. We want to assist you.' Then, if we want a partner, the partner must come on our terms, because then we will have the capacity to do things on our own."

"When we don't have that capacity, then we are like economic slaves. We go begging. There are still countries in Africa which go begging for money in order to pay their civil servants, and they got independent in the '60s," he said.

Mmhh, mi chichemi, nachoma tu!!
 
dokra huu kuna mada hapa ya Zimbabwe kwa nini usiunganishe ikawa chini ya jina lile la jamaa kuwa ICU tukaendelea? Mbona unaulzia swali ambalo limesha ulizwa kule ?
 
JK ana difuse nini wakati Morgan yuko ICU ? Je kafika ICU kumuona ?Je kaongea na wapinzani wa Zimbabwe ? JK anaweza ya Zimbabwe wakati ya Tunduru yana shida hapa nyumbani ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom