Zimbabwe situation Live

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,682
8,233
Kwa wale walio UK wanaweza kuangalia BBC channel 4 maisha ya Zimbabweans today so sad story ..... ....

Zimbabwe's Forgotten Children

http://www.bbc.co.uk/bbcfour/watchlive/

Zimbabwe's Forgotten Children Shot entirely undercover over the course of nine months, a beautiful and moving documentary which tells the stories of three children growing up in today's Zimbabwe.
12-year-old Grace rummages through rubbish dumps in Harare to find bones to sell for school fees; nine-year-old Esther has to care for her baby sister and her mother who is dying of HIV/AIDS; and 13-year-old Obert pans for gold to make enough money to buy food for himself and his gran, while dreaming of somehow getting the education he craves.

From BAFTA-winning director Jezza Neumann and BAFTA-winning producer, Xoliswa Sithole, a powerful tale unfolds of the gaping chasm between what these children hope for and what their country can currently provide.

b00r5ww9_640_360.jpg

duh haya wengine tukisikia BBC tunakimbilia redio
89.5 radio one afadhali umespecify walipo nilishaanza kuwahi redio fasta
gmorning
 
duh haya wengine tukisikia BBC tunakimbilia redio
89.5 radio one afadhali umespecify walipo nilishaanza kuwahi redio fasta
gmorning

BBC 4 ni TV documentary ambayo wanaonyesha maisha jamani msiombe then huyu kibabu last week alimwaga birthday party ya kufulu nitajaribu kutafuta video yake niweke humu lakini nafikiri itakuwa on line kesho.
 
duh haya wengine tukisikia BBC tunakimbilia redio
89.5 radio one afadhali umespecify walipo nilishaanza kuwahi redio fasta
gmorning

hahahahahaha..mkuu umenifanya nicheke sana...duh.....

Ya Zimbabwe ..ndo Africa yetu hiyo..so sad..
 
Fikiria unakaa mji kama Harare then hakuna maji kwa hiyo huwezi ku-flush toilet for over three years na una watoto hakuna maji ....
 
Wakuu nitafanya maarifa hata na BBC wenyewe lazima hii niipate niwawekee Duh acheni jamani .....
 
yanayotokea zimbwabwe yanatokea india, brazil , kenya na kwingineko, hakuna jipya this is part of life propaganda tu za bbc
 
Nimeangalia online kwa muda,then nikaacha.Too bad!
It is true BBC propaganda,at the same time Babu Mugabe kutuma kiasi hicho kwa besiday sio sawa.zadi ya millioni 3 ya Wazim wameondoka nchini,wengi wanasota vibaya nchini South africa!Ukimwi nao ndio zaidi.
 
I hope akina Lowassa, Rostam na wenzio wataipata hii video maana jamaa wa zimbabwe hawana tofauti na wao!!!!
 
In any way, wazungu hawa walowanyang'anya ardhi, uhuru na haki nyingi wananchi wa Zimbabwe na kwingineko Africa, hawawezi ghafla kuwa ndo wasamaria kwa shida za waafrika.
Si ni hao hao wanoandika kuwa biashara ya utumwa ilikuwa ni waafrika kuwauza wananchi wenzao? Si ndio hao hao wanaotangazaga picha za watu wanakula nyani? Kwa hifadhi ya nyani Afrika ni muhimu kuliko ya jamii?
Popote penye maliasili adimu lazima wazungu wataingia na kutengeneza fuja ndani ya jamii. Congo madini ya Coltan yanawaua, Dafur mafuta nk.
Usitegemee picha waliandaa wao zikuonyesha jingine zaidi ya kuwa ni fadhila kuwanyang'anya waafrika haki za maliasili na kuwatumikishwa katika nchi zao. Tuwe makini kucheza bila kujua lengo la midundo wanokuja nayo.
 
Mdondoaji,viongozi wetu nana anajali ?Zimbabwe iko kwenye spotlight baada ya UK na USA kusema sana UN.Corruption ya sasa Tanzania i think inazidi Kenya.Lakini mpaka sasa EU ina msimamo mkali na Kenya kuliko sisi ,hadi wamebana baadhi ya viongozi wa Kenya kusafiri UK.Mzee Vijisenti sidhani amezuiliwa kuingia UK !
 
Nimeangalia online kwa muda,then nikaacha.Too bad!
It is true BBC propaganda,at the same time Babu Mugabe kutuma kiasi hicho kwa besiday sio sawa.zadi ya millioni 3 ya Wazim wameondoka nchini,wengi wanasota vibaya nchini South africa!Ukimwi nao ndio zaidi.

Huyo reporter ni Mzimbabwe anatokwa machozi anapo-report then unasema propaganda ya BBC? Lini us as Africans tutakubali makosa yetu.

Wakati Mugabe anachukua madaraka uchumi wa Zimbabwe ulikuwa 25 times more ule wa Kenya, Lets be serious.
 
Jambotemuv,ni kweli ya Wazungu mabaya.Lakini sisi wenyewe tujilaumu vilevile.
Angali ufisadi Tanzania,kama Govenor wa Benki anajustify zaidi ya billions kukarabati nyumba,wakati Temeke hospital akina mama wanalala chini .

Mugabe huyu,sio kama watu wanavyomsifia,is real dictator,anatumia RACE card kukaa madarakani(since 1980),amewapa ardhi wanajeshi na cronies wake,ambayo hata wameshindwa kulima.

Jumba analokaa usiseme,angalia nephew wake:google Mugabe nephew,uone nyumba anayokaa,ulinganishe na hii documentary ya BBC4.
Wananchi wa Zimbabwe sio mbumbumbu kama bongo.Walimwondoa kwenye kura,lakini kama most African dictators,amekaa puti.Angalia shopping za mke wake!,Paris,Ulaya kila mara.

Afrika sasa,tusiwalaumu Wazungu,ufisadi bongo ni dalili ya afrika nzima.MEREMETA,BoT tower,RICHMOND,RADAR scandal,KIWIRA etc,mpaka sasa hakuna hata prosecution
moja.
 
Fikiria kwanini hayo ya Mugabe wanayabebea bango lakini hawafanyi hivyo kwetu ie Gavana Ndullu?
 
Sidhani kama kati yetu yupo anayebariki maovu ya viongozi wetu. Laa. Wamegubikwa na ubinafsi kiasi cha rahisi kununulika na kuajiriwa na wale tulojinasua kwao. Mugabe hana tofauti na viongozi wengine wa Afrika katika kujilimbikizia huku wananchi wengi wakiteseka. Swali linabaki. Iweje huyu Mugabe ndo pekee wameamua kukomaa naye kwa miaka yote hii? Jibu ni kuwa Mugabe kakataa kuwatumikia wazungu. Wanachofanya ni kutafuta kila wapate vibaraka wao madarakani wawarejeshee mirija yao. Iweje mpaka leo hawajalani ya Meremeta, RichiMonduli, Bulyankuru, Epa, IPTL nk nk nk? Badala yake Tz yatajwa kama mafano wa kuigwa? Jibu ni kwamba madhambi yote yatendekayo huko ambako hawasakamwi ni makao ya vibaraka wao. Meremeta etc ni wazungu wameuziwa kwa kutumia sura za Mkapa, Lowasa, Chenge etc.
Tuendelee kuwasakama viongozi wetu sisi wenyewe mpaka waujutie usaliti wao lakini tusidanganyike kuwa Mzungu ataongoza mapambano yoyote kwa manufaa ya mlalahoi Afrika.
 
Huyo reporter ni Mzimbabwe anatokwa machozi anapo-report then unasema propaganda ya BBC? Lini us as Africans tutakubali makosa yetu.

Wakati Mugabe anachukua madaraka uchumi wa Zimbabwe ulikuwa 25 times more ule wa Kenya, Lets be serious.
Lakini huyo reporter mrembo utadhani si Mzimbabwe.
 
Kwa wale walio UK wanaweza kuangalia BBC channel 4 maisha ya Zimbabweans today so sad story ..... ....

Zimbabwe's Forgotten Children

http://www.bbc.co.uk/bbcfour/watchlive/

Nafikiri Wacha1 huijui story ya Zimbabwe na UK propaganda ya BBC ni sawa na kutegemea RTD itangaze habari nzuri za vyama vya upinzani Tz ni sawa na kutegemea CNN itangaze habari nzuri za Irani

ni kweli sikatai watu wa Zimbabwe wanapata tabu lakini siwezi ku rely on BBC News kuhusu Zimbabwe hizo propaganda ni za masetra wanaodai kurudishiwa mashamba waliyonyang'anywa na kupewa wananchi wa Zimbabwe

masetra hao kwenye uchaguzi uliopita walichanga mabilioni ya pound kuuangusha utawala wa Mugabe unataarifa kuwa serikali ya Brown ilitoa £3Bil siyo shilingi kwa ajili hiyo na UK haijakanusha hadi leo sasa ulitegemea BBC watangaze nini sasa wakati ni chombo cha serikali

wote tunajua yanayotendeka Zimbabwe lakini ukitaka kujua habari zaidi sikiliza vituo mbalimbali try tu be careful na vyombo kama BBC, CNN,CBN, Sky News ni vya propaganda za nchi za Magharibi, balance na vyombo kama RussiaToday RT, Aljazeera, etc unaweza kupata mchanganyiko mzuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom