mmh.Hebu jionee mwenyewe.View attachment 1654197
Khaaa jamanBado mapema Sana,ata kulimia meno bado
Mnaunga mkono kila kituNyie mlitakaje sasa???
Hii inamanisha bank ipo Karibu nakuwa bankrupt. Yes that is first indicator. Kitakachotokea wengi watakuja chukua fedha Jambo litazuwa panic na mwisho bank kufungwa. End.
Soma makala yangu ya utabiri wa 2020. Pia soma makala nawataadharisha serikal na Rais kubadili Sera au wakutane na kituko.
🤣🤣🤣Bado mapema Sana,ata kulimia meno bado
Wewe huwezi kujua,kwa sababu unakula kwa shemeji na kulala sebuleni.Nyie mlitakaje sasa???
Wewe sikuhizi ndio umebadilika sijui kwaniniSoma makala yangu ya utabiri wa 2020. Pia soma makala nawataadharisha serikal na Rais kubadili Sera au wakutane na kituko.
Wewe huwezi kujua, kwa sababu unakula kwa shemeji na kulala sebuleni.Nyie mlitakaje sasa???