Zimbabwe, Namibia na Botswana zapiga marufuku nyama kutoka Afrika Kusini

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Nchi za Zimbabwe, Namibia na Botswana zimepiga maruguku uagizwaji wa nyama kutoka Afrika Kusini

Marufuku hii imetokana na kuwepo kwa taarifa za maambukizi ya ugonjwa unaoambukizwa kupitia ulaji wa nyama

Ugonjwa huo ambao kwa lugha ya kiingereza unafahamika kwa jina la foot-and-mouth' uligundulika katika Jimbo la Limpopo linalopakana na Zimbabwe, Botswana na Mozambique


======
Countries like Zimbabwe, Namibia and Botswana who are heavily dependent on the importation of meat and animal products from South Africa have placed a ban on the importation of meat products from the country. This is as a result of the foot-and-mouth disease outbreak which the country is currently battling.

According to experts, foot-and-mouth disease (FMD) is a severe, highly contagious viral disease of cattle and swine. It also affects sheep, goats, deer, and other cloven-hoofed ruminants. The disease spreads very quickly if not controlled and because of this, it is a reportable disease. It causes lesions and lameness in cattle and sheep.

The disease was first detected in the northern district of Limpopo province. Limpopo is a South African province bordering Botswana, Zimbabwe and Mozambique.

Farmers and animal products exporters in South Africa have expressed concerns owning to the fact that the embargo placed by the countries will affect their businesses in no small way.

Reacting to this, the South African Department of Agriculture, Forestry and Fisheries have urged the exporters and farmers to remain calm saying the embargo and outbreak will not affect the country's meat export business.
 
Hata hivyo nyama ya ng'ombe ni ghali kuliko kuku kwa SA Wazimbabwe na uchumi wao wanahemea kuku sana walishajipiga marufuku muda mrefu hao maana watu wanaishi Harare kila akipata mshahara anakimbikia Messina Border kununua mafuta ya kupikia,Vitunguu na bidhaa zingine maana Harare kwa bei zilivyo ananunua vitu vichache kwa pesa kubwa...
 
Back
Top Bottom