KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Eeeenh, mara hii umekwishakimbilia kwenye magari?Hivi naomba kuuliza,majirani zako wote wakiwa na magari
na wewe ukinunua baadaye hutamshukuru Mungu kwa kisingizio cha kwamba majirani zako wanayo tangu zamani?
Hivi tunakwama wapi? Kubeza kila kitu nadhani hatujui tunachokitafuta.
Wewe unaponunua gari baada ya wenzako wote, kitendo chako hicho kimekwishakuwa cha kawaida sana, hakiwashtui tena watu kuona una gari.