ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,692
Nimeshangaa sana kuona Zimbabwe matokeo ya urais kupingwa mahakamani, rais ameshindwa kuapishwa mpaka mahakama itakapo fanya maamuzi.
Katibu yetu Tanzania hairuhusu kupinga matokeo ya rais mahakamani. Tumepitwa hata na Zimbabwe katika eneo hilo. Zimbabwe wameonyesha ukomavu mkubwa wa kisiasa hivyo siai kama taifa hatuna budi kuiga.