Zimbabwe: Makamu wa Rais ajiuzulu kufuatia kashfa ya kuwa na mahusiano wa Wanawake walioolewa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,843
2,000
Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Kembo Mohadi amejiuzulu kufuatia ripoti za Vyombo vya Habari Nchini humo kuhusu mienendo yake isiyo na maadili.

Katika barua iliyotolewa na Wizara ya Habari, Mohadi amesema ameamua kuachia madaraka sio kwa uoga lakini kama ishara ya kuonesha heshima kwa Ofisi ya Rais.

Vyombo vya Habari viliripoti alikuwa na mahusiano na Wanawake walioolewa akiwemo mmoja wa watumishi wake. Alikana madai hayo wiki iliyopita, akisema ni ya njama ya kisiasa dhidi yake.

95ECB129-85EF-4FDA-876C-FD25E891EB5B.jpeg


=====

Zimbabwe Vice President Kembo Mohadi resigned on Monday saying this was meant to save the image of the government following local media reports he had engaged in improper conduct.

Mohadi, along with Constantino Chiwenga, was a deputy to President Emmerson Mnangagwa since 2018, but without a political power base, he was not seen as a potential successor to the president.

In a rare move by a public official in Zimbabwe, Mohadi said he had taken the decision to step down “not as a matter of cowardice but as a sign of demonstrating great respect to the office of the President.”

Local online media service ZimLive has in the past two weeks carried reports that Mohadi had improper sexual liaisons with married women, including one of his subordinates.

Mohadi denied the accusations last week saying this was part of a political plot against him. On Monday he continued to deny the accusations saying he would seek legal recourse.
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
31,204
2,000
Dah!!Hata picha hamna,jifunzeni uandishi wa habari.Uandishi wa habari siyo kuandika tu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom