ZIMBABWE: Kamati ya Bunge yamuita Mugabe kuelezea taarifa yake aliyoyatoa kuhusu utoroshwaji wa Almasi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
a901e05caa0649339ef3cda148ee1d3a_18.jpg

ZIMBABWE: Kamati ya Bunge yamuita aliyekua Rais wa Taifa hilo kwa miaka 37, Robert Gabriel Mugabe kuelezea maoni yake aliyoyatoa hivi karibuni kuhusu rushwa katika biashara ya Almasi.

> Mugabe aliyeng'olewa madarakani mnamo mwezi Novemba mwaka jana alisema kuwa mwaka 2016 mawe ya dhahabu yenye thamani ya Dola za Kimarekani bilioni 15 yalitoroshwa katika machimbo yaliyopo Mashariki mwa nchi hiyo.

> Mugabe mwenye umri wa miaka 94 sasa ametakiwa kufika mbele ya Kamati ya Bunge inayoshughulikia Nishati na Madini tarehe 9 mwezi Mei mwaka huu ili aeleze namna utoroshwaji ulivyofanyika na amewezaje kuijua thamani yake


=====

A parliamentary committee in Zimbabwe has summoned former President Robert Mugabe to explain a past comment about the country losing billions of dollars in revenue due to diamond corruption.


Mugabe, who stepped down in November 2017 after a military intervention and huge protests, said in 2016 that $15bn worth of gems had been looted from fields in eastern Zimbabwe.


The 94-year-old, who ruled the country for 37 years, will appear before the parliament's mines and energy committee on May 9 to explain how this sum was lost or how he calculated the figure, said Chairman Temba Mliswa.


"We met today [Thursday] as a committee and resolved that we invite former President Mr Mugabe to our committee to explain the disappearance of the $15 billion worth of diamonds," Mliswa told state-owned Herald newspaper.


The move marked the first time a public institution has called Mugabe to account for such claims made during his rule.


Committee appearances

Allegations of diamond looting have been a source of anger in the once-prosperous southern African country whose economy collapsed under Mugabe's long rule.


Non-governmental organisations such as Global Witness have accused government and security agencies of both looting and human rights abuses.


Zimbabwe security agencies, including the military and police, were involved in mining in partnership with Chinese firms until the government cancelled all diamond mining licenses in the region in 2016, making way for a monopoly by a government-owned firm.


The parliamentary committee also asked former Vice President Joice Mujuru to provide evidence.


Former and serving top police officers, government officials and mining executives have already appeared before the committee.


It was unclear whether Mugabe, who is in frail health, will agree to appear before the committee.


SOURCE: Al Jazeera and news agencies
 
Hawa nao badala wajipange kuendesha nchi wanataka kumhoji mzee wa miaka 94!! Huyu kwa sasa ni kama mtoto mdogo ila viongozi hasa wa Africa wana la kujifunza, utafika muda ambao huwezi kumuamrisha hata houseboy wako! Tuache kiburi kwa vile sasa bado tuna nguvu
 
Back
Top Bottom