Zimbabwe: Kamati Kuu ya Chama cha ZANU-PF imemvua Uenyekiti wa Chama Rais Mugabe, Grace Mugabe avuliwa Uanachama

Kanu imeondoka Kenya
Unip imeondoka Zambia
Chama cha Kamuzu Banda kimeondoka Malawi
Chama cha Obote hakipo Uganda
Chama cha Nandi Azikiwe hakipo Tena Nigeria

Anza na Nchi hizo

Vyama kongwe ni CCM, ANC, ZANU PF na Frelimo

Kenya na Nigeria wanafanya vizuri tu kiuchumi. Wapo vizuri kuliko walivyokuwa chini ya vyama vya ukombozi. Wananchi wa nchi hizi wapo civically aware. Wanaweza kuzisimamia kweli nchi zao. Tumeona mara nyingi ikitokea hivyo. Juzi juzi, Nigerians walivyofanya kwa Buhari. Tatizo ambalo bado lipo kwenye nchi hizi ni kuwa na masalia ya watu waliotokana na vyama hivyo vya kombozi.

Uganda nafikiri sina hata haja ya kusema nini kinachoendelea! Maana Yoweri turned out to be worse than chama cha ukombozi!!

Malawi na Zambia sijui sana nini kinachoendelea huko.

Kesi ya ANC ZA, ni tofauti sana. Kwa sababu kimsingi ANC wana nguvu ya kisiasa tu! Uchumi wa ZA haupo mikononi mwa ANC na wafuasi wake! Na ANC plays it safe and smart! Kwani hawa-mess na uchumi wa nchi; wanajua doing that ndiyo mwisho wao. Pia ZA inakuwa tofauti kwani wao toka mwanzo waliamua kufuata itikadi za kiliberali, kwa kuwa na sekta binafsi yenye nguvu na stake kubwa kwenye uchumi na huduma za jamii. Hivyo, angalau maisha ya South Africans yapo standard.

Angali sasa CCM, FRELIMO na ZANU-PF hali zilivyo! Umaskini uliokithiri, viongozi waliojawa na viburi, na wananchi waliojawa na ujinga. Combination ambayo it seems inafanya kazi kwa faida ya vyama hivyo.
 
Breaking News
Mugabe recalled and ED Mnangagwa elected new party leader and Grace fired from Zanu!
 
Thank you!
Umesema Nigeria inafanya vizuri baada ya kuondoa Chama chao cha Ukombozi Ila Tatizo ni masalia ya waliokuwa kwny Chama hicho cha Ukombozi
Nakubaliana na Wewe 100% ndio sababu Mimi siwezi kufunga Mkono Eti tufanye Mabadiliko wakati Hao tunaotaka kuwapa Madaraka walikuwa kwny hivyo Vyama kongwe!
Kama ni Ubaya wa CCM sio ukijani wake, iweje Mtu akivua shati la Kijani na akavaa gwanda Nahisi ndo anafaa kuleta Mabadiliko ?
Nitabaki CCM mpaka kufa kwangu au waje Watu wapya kweli kweli wasiotokana na CCM ndio naweza kuamini ni wana Mabadiliko
 
Naamini hapa unaongelea move ya Lowassa. Yes, nafikiri CHADEMA walikosea sana kumchukua Lowassa. Ingawa kawaongezea idadi ya wabunge na wafuasi pengine, lakini kawachafua vilevile kutokana na mzigo wa tuhuma za rushwa alizonazo.

Ila naweza kuwalewa kwanini CHADEMA walifanya hivyo. Kuna tendency ya vyama vya ukombozi ku-sail kwa mgongo wa vyombo vya dola. Nataka niamini kwamba CHADEMA walihisi Lowassa atakuja kuwapa hiyo edge kidogo kutokana na yeye kuwa kiongozi mwandamizi wa dola. Hili ni tatizo ambalo vyama vya upinzani kwenye nchi ambazo vyama vya ukombozi bado vipo madarakani. Vyama hivyo vya ukombozi ni vyama dola! Sasa katika kushindana vinakuwa steps ahead ya washindani wake.

Ndiyo maana siku zote nimekuwa nikiwapigia kelele CHADEMA kutokubali kwenda kwenye uchaguzi kama hakuna usawa kwenye ushindani. Na hapa naongelea uwepo wa tume huru ya uchaguzi ambayo viongozi wake watapatikana kwa merits na siyo kuteuliwa, haki ya kupinga matokeo ya urais Mahakamani, wasimamizi huru wa uchaguzi na siyo DEDs kama ilivyo sasa, matokeo ya kura za urais kusomwa na msimamizi wa uchaguzi wa jimbo na kutupelekwa mkoani na taifani kama matokeo rasmi, huko taifani ni kuyaidhinisha tu. Hapa ndipo utaona vyama vya upinzani vikifanya kazi bila kutegemea masalia ya watu waliotokana na vyama vya ukombozi.
 
Wapi umoja feki wa Afrika ,umoja feki wa sadec Wote kimya,Gaddafi alisema yanatokea kwangu Leo na UA uko kimya yatatokea na kwa mwingine,sasa yanayompata Mugabe na UA uko kimya na marais wengine wajiandae
 
Watapata laana mkuu, maana huyo Mzee pamoja na finishing mbaya lakini enzi zake aliitwa Jongwe yaani jogoo, ni mtu muhimu sana miongoni mwa veterans waasisi wa taifa la Zimbabwe.

Laana my foot, thinking za kijima sana hizi.

Na hilo ndio tatizo letu Waafrika. Mtu akikomboa jamii kutoka kwenye hali kandamizi fulani au vita akapewa heshima ya kuwa rais baada ya kutuliza nchi basi anataka tumlipe kwa kumwacha abaki hapo kwenye madaraka mpaka afe. Ndio kina Museveni, Kagame, Kabila.

Okay, unasema ulitukuta kwenye ujima, umetukomboa kwenye ukoloni, vita, njaa na nzige. Umetutawala miaka 30, bajeti ya Ofisi ya Rais wa Afrika haipiti bungeni na haihojiwi, kiasi kwamba unatembea na pesa taslimu wamebebeshwa ma bodyguard kwenye mafuko mpaka unagawa barabarani. Hatujakulipa bado?
 
Ndiyo akili zako zilipoishia hapo nyang’au wewe! Hata Mwigulu kampiga dongo huyu janga la Taifa leo hii hapa JF. Pole kwa kujaziwa kamasi badala ya ubongo kichwani kwako.
Vipi mkuu...nadhani bado Mugabe ana miaka nane....
 
Back
Top Bottom