mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,251
Mtu wa hovyo kabisa weweJuzi mlisema Kapinduliwa leo mnatuletea story za kufukuzwa....ha ha ha...subiri amalizane na makamanda wa jeshi ndio mtaelewa
Mtu wa hovyo kabisa weweJuzi mlisema Kapinduliwa leo mnatuletea story za kufukuzwa....ha ha ha...subiri amalizane na makamanda wa jeshi ndio mtaelewa
Chama kimemvua uenyekiti tu, uanachama bado atabaki nao. Hata hiyo jumanne uliyoitaja yakitukia hayo, uoni kama inadhihirisha juu ya hoja ya yote yalipangwa kimkakati?Mkuu ninashaka na uelewa wako
Leo ameondolewa ukuu Wa chama chake ZANU PF Jumanne bunge linamaliza Kazi kwa impeachment
93 years bado linataka kuwa raisi.
Alaf lilivyo na roho ngumu , linataka lifanye urais kama KASWENDE vile limuhamishia mkewe via sexual intercourse..
Hongera Jeshi ku-act kama kondomu kuzuia hili.
Mugabe akae ale pension tu kwa sasa
Yaani wazungu wasilale sababu ya Huyo Mzee, uwe unaficha ujinga wako wakati mwingine comments Zako Zina reflect akili yakoAiseeee
Na wazungu wa mabara yale hawalali juu ya Mugabe.. hadi waone hayumo tena kabisaaaa.
Sasa huo ni upiga ramli! Nami siyo mpenzi wa upigaji ramli! Ila, naamini kuondoka kwa Bob ni the best thing for Zimbabwe na Zimbabweans.Hiyo hiyo Hali mbaya itakuwa mbaya mara 2 yake kama ni watu wenye Nia mbaya na Zimbabwe.
Hahaha! Mbona unawaza kitu ambayo sijakiongelea mkuu .Sasa huo ni upiga ramli! Nami siyo mpenzi wa upigaji ramli! Ila, naamini kuondoka kwa Bob ni the best thing for Zimbabwe na Zimbabweans.
Haya mambo kuna watu sijui wanajichetua au hawajui kabisa ni nini maana yake. Rais wa nchi si lazima ndio awe mwenyekiti wa chama tawala. Kwa siasa za kijamaa ni hatua ya kumweka kando ktk Uongozi wa nchi lakini si lazima. Zimbabwe inaweza ikamuacha hivyohivyo hadi term yake iishe na chama kikamteua mwingine kugombea urais, yote yanawezekana.Acha uongo!
Robert Mugabe kavuliwa Uenyekiti sio Uanachama!
One step at a time! Kwa sababu bado kiongozi wa nchi angetoka ZANU-PF. Then, next election, Zimbabweans wataamua nini cha kufanya. Ila hatua ya kumtoa Bob tena bila kumwaga damu (knock on wood) ni kubwa sana.Unamtoa Mugabe unamuweka rafiki yake aliyekuwa nae kwa kipindi chote cha uongozi. Hivi sisi wa afrika tumerogwa?
Tunabadili mtu ama uongozi?
Nimekuelewa chifu. Tuombe uzima ili tuje tuone hali itakavyokuwa. Ila I’m very optimistic! Haya mavyama ya ukombozi yanapaswa kuondolewa yote Afrika.Hahaha! Mbona unawaza kitu ambayo sijakiongelea mkuu .
Nenda kasome statement yangu tena.
Sijasema kuwa kutoka kwa RM ni vibaya kwa wazimbabwe.., ninachomaanisha ni motives ya yeye kutoka..!
It doesn't matter whether he was bad or Good..!
Hali mbaya zaidi gani hiyo? Maana Zimbabwe hali ni mbaya sana over the last 10 years! No matter who is behind it, naona ni jambo jema kwa Zimbabwe na wazimbabwe.
Haya mavyama ya ukombozi Afrika ni mizigo tu! Hayatimiza hata ahadi moja walizozitoa wakati wa kupigania uhuru. Huku maviongozi ya vyama hivyo yakishibisha matumbo yao na wapambe zao tu!
Kuboresha mjadala taja: hivyo vyama na nchi zilizo na vyama vipya, kisha tujadili.Africa Nzima vyema vya Ukombozi viliyobaki havizid Vitano, hivyo vyema vipya vimechukua dola vimefanya nini cha maana?
Kuboresha mjadala taja: hivyo vyama na nchi zilizo na vyama vipya, kisha tujadili.
Haya mambo kuna watu sijui wanajichetua au hawajui kabisa ni nini maana yake. Rais wa nchi si lazima ndio awe mwenyekiti wa chama tawala. Kwa siasa za kijamaa ni hatua ya kumweka kando ktk Uongozi wa nchi lakini si lazima. Zimbabwe inaweza ikamuacha hivyohivyo hadi term yake iishe na chama kikamteua mwingine kugombea urais, yote yanawezekana.
Nadhani kwetu haurudiwa km muda uliobaki ni pungufu ya miaka 2.Rais anapokuwa hayupo Madarakani kwa sababu yoyote ile Makamu wake wa Rais ndio huchukua madaraka mpaka ufike wakati Mwingine wa a uchaguzi
Hata hapa kwetu iko hivi , ikitokea sababu yoyote Rais akakoma kuwa Rais hauitishwi Uchaguzi Kama wa Mbunge Bali Makamu ana take over na kushika usukani
One step at a time! Kwa sababu bado kiongozi wa nchi angetoka ZANU-PF. Then, next election, Zimbabweans wataamua nini cha kufanya. Ila hatua ya kumtoa Bob tena bila kumwaga damu (knock on wood) ni kubwa sana.