Zimbabwe inakubali kulipa fidia ya dola bilioni 3.5 kwa wakulima weupe

Maradhi makubwa ya mtu mweusi ni kujidharau na kujikomba......mtu mweusi akipona maradhi hayo anakuwa mtu mwengine kabisa!!!
Yaani unaogozwa na mtu anaeamini kua kuchagua mpinzani hutakiwi kuletewa maendeleo alafu wewe hapo unajisemea kua tunajidharau na kujikomba?

Sifa kubwa ya mtu mweusi pamoja na wewe ni kukubaliana jambo alafu wakaa kwenye meza na kuyaandika kua tutayafuata bali ikifika wakati wa utekelezaji hayafuatwi wala hayafutwi wala hayaandikwi yale anayoyatekeleza.

Watu weusi bado tumetawaliwa na ujinga na ushamba ndani yake...tumebakia historia tu.
 
Usichokijua ni kwamba hata huko uzunguni wanafiki, washamba na wajinga wapo.....iondoe hiyo roho ya kujiona mjinga na kujiamini!!!

NB;
Najua ni ngumu kunielewa kulingana mfumo uliokulia!!!..
 
Wonder shall never end in afrika,kipi kimemfanya mnangagwa akubali deal la kipuuzi namna hii? Au ana ten percent yake ?
Watu weupe we wasikie tu, wakiamua kudeal na wewe hutoboi kiongozi. Wanakubana katika kila njia yako ya kiuchumi utanyoosha tu mikono. Bahati mbaya mtetezi wa mwafrika( nchi nyingine za kiafrika) naye ananjaa yake inamsumbua hana uwezo wa kumwezesha huyo Zimbabwe angalao ainuke kiuchumi zaidi atajaribu kubweka km kalamagamba alivyoibwekea marekani kulegeza vikwazo vya kiuchumi kwa Zimbabwe, ulishawahi hata kumsikia akirudia kubweka tena. Mugabe alifanya Yale maamuzi kuwafurahisha wananchi ili aonekane herro lakini alijua nyuma ya pazia itatokea nn. Hukuona mwewe wetu akibanwa kule Canada nn kilitokea... Tufanye maamuzi kwa uangalifu hasahasa Mambo ya kimkataba.
 
Sawa tufanye walikuwa wezi, Wazimbabwe wameshindwa nini kuyaendeleza mashamba. hayo maana wezi hapo tena?
miaka 20 inakaribia toka wawafukuze wazungu , leo hii Zimbabwe inapelekewa karanga kutokea kahama
Ulietegemea kupitia vile vikwazi wangeweza kujimudu kweli ?!

Ukweli mchungu nikwamba waafrika wanahujumiwa nahao hao ambao wanawaona maswahiba zao kwaupande mwengine.....
 
Wamedai fidia kwenye mahakama gani by the way first thing first kwani settlers walikuwepo kihalali zimbawe at very first time?(colonialism) tuache siasa kwenye mambo yanayotuangamiza
kabsa MKUU kama atkujibu usisahau kunitag.....
 
Wao wameamua kufanya hivyo baada ya kubanwa vilivyo na vikwazo halafu wewe wa Tandale kwa Mtogole unawaponda wakati madhila wanayopitia wewe huwezi kuwasadia chochote. Very hopeless.
kwahio ndio wanakua sio wajinga ?!

Ukiamua kuipigania haki yako ipiganie tu hatakama utapata madhila namagumu kiasi gani.....
 
Nadhani haya hata Iran na Libya yaliwakuta na walilipa kwa visima vyao vya mafuta
Wazungu sio watu
IRAN walipokuja kujitambua wakawakimbiza wale wapuuzi wakizungu mpaka sasa IRAN maendeleo kama yote.....
 
kwahio ndio wanakua sio wajinga ?!

Ukiamua kuipigania haki yako ipiganie tu hatakama utapata madhila namagumu kiasi gani.....
Msiwadanganye wenzenu wakati nyie hayo hamuyawezi. Zimbabwe wako ICU kiuchumi, wao wameamua kurusha taulo wanajua maana yake.
 
Kurusha kwao taulo sijakataa ila hakuwapi uhalali hao wapuuzi wakizungu kama wanalofanya wapo sahihi

Walitakiwa waeke mipango mikakati kama IRAN VENEZUELA na KOREA kwani wao hawana vikwazo ?!

Mbna hawajafuata matakwa yahao wapuuzi

Wazungu wabaya sana basi tuu
 
Watu weupe we wasikie tu, wakiamua kudeal na wewe hutoboi kiongozi. Wanakubana katika kila njia yako ya kiuchumi utanyoosha tu mikono. Bahati mbaya mtetezi wa mwafrika( nchi nyingine za kiafrika) naye ananjaa yake inamsumbua hana uwezo wa kumwezesha huyo Zimbabwe angalao ainuke kiuchumi zaidi atajaribu kubweka km kalamagamba alivyoibwekea marekani kulegeza vikwazo vya kiuchumi kwa Zimbabwe, ulishawahi hata kumsikia akirudia kubweka tena. Mugabe alifanya Yale maamuzi kuwafurahisha wananchi ili aonekane herro lakini alijua nyuma ya pazia itatokea nn. Hukuona mwewe wetu akibanwa kule Canada nn kilitokea... Tufanye maamuzi kwa uangalifu hasahasa Mambo ya kimkataba.
Kwan marehemu mugabe alikuta mkataba gani unaoihusisha ardhi ya zimbabwe na wale wazungu ambao aliuvunja ?!

Nitoe ujinga MKUU.....
 
Wamedai fidia kwenye mahakama gani by the way first thing first kwani settlers walikuwepo kihalali zimbawe at very first time?(colonialism) tuache siasa kwenye mambo yanayotuangamiza
Ukishakuwa kiongozi wa nchi utakubali hata ujinga wowote ule utakaoambiwa.

Kuongoza nchi sio rahisi hivyo.
 
Kwan marehemu mugabe alikuta mkataba gani unaoihusisha ardhi ya zimbabwe na wale wazungu ambao aliuvunja ?!

Nitoe ujinga MKUU.....
siwezi jua mkataba uliokuwepo lakini km Rais wa Sasa kaamua kulipa fidia lazma kuna kipengele au hatua ilikosewa katika harakati za kudai ardhi yao.
 
Back
Top Bottom