Zimbabwe inakubali kulipa fidia ya dola bilioni 3.5 kwa wakulima weupe

Wamedai fidia kwenye mahakama gani by the way first thing first kwani settlers walikuwepo kihalali zimbawe at very first time?(colonialism) tuache siasa kwenye mambo yanayotuangamiza
Kama watawaondolea vikwazo ni sawa tuu,walipwe fidia ya miundombinu na sio ardhi.
 
Harare

Zimbabwe on Wednesday agreed to pay $3.5 billion in compensation to white farmers whose land was seized by Robert Mugabe's regime as part of his agrarian reforms in the early 2000s.

President Emmerson Mnangagwa described the agreement as historic, saying it would bring closure to an emotive issue.

"Today we signed a historic compensation agreement with the Commercial Farmers Union, bringing closure and bringing a new beginning to land discourse in Zimbabwe," President Mnangagwa said.

"The agreement reaffirms the irreversibility of the land reform and is a symbol of our commitment to the rule of law and property rights. It is a testimony to the fact that as fellow Zimbabweans we can peacefully resolve our differences. We cannot change the past, we can only learn from it.

"Let us build on the trust demonstrated today, let us choose dialogue over confrontation and let us move forward together."
 
Wajinga hao, ardhi yao wenyewe wanawafidia wavamizi waliotoka ulaya

Isitoshe wao wazimbabwe ndo walitakiwa walipwe kwa kutawaliwa 'ukoloni'
 
Zimbabwe inakubali kulipa fidia ya dola bilioni 3.5 kwa wakulima weupe

Zimbabwe ilikubali Jumatano kulipa $ bilioni 3.5 kwa fidia kwa wazungu weupe ambao ardhi yao ilifutwa na serikali kuweka tena familia nyeusi, kusonga hatua karibu na kusuluhisha moja ya sera zilizogawanya zaidi za enzi ya Robert Mugabe.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akizungumza wakati wa mkutano wake na Rais wa Belarusi Alexander Lukashenko huko Minsk, Belarusi Januari 17, 2019.

Lakini taifa hilo la kusini mwa Afrika halina pesa hizo na litatoa vifungo vya muda mrefu na kwa pamoja watafikie wafadhili wa kimataifa na wakulima kuongeza fedha, kulingana na makubaliano ya fidia.

Miongo ishirini iliyopita serikali ya Mugabe ilifanya wakati wa kufukuzwa kwa vurugu kwa wakulima weupe 4,500 na kusambazwa tena kwa familia takriban 300,000 nyeusi, ikisema ilikuwa inarekebisha usawa wa ardhi wa kikoloni.

Makubaliano yaliyotiwa saini katika ofisi za Rais wa Jimbo la Rais Emmerson Mnangagwa jijini Harare yalionyesha kuwa wazungu watalipwa fidia kwa miundombinu kwenye mashamba na sio ardhi yenyewe, kulingana na katiba ya kitaifa.
Kama wakiweza waludishe mashamba pia na fidia kwa wazungu wasione haya.
 
Africans are cursed! Manguvu mengi akili robo kijiko. Hivi wakati Mugabe akiwapora ardhi hiyo alikuwa hajui kitakachofuata?

Wazungu wamemzidi akili mtu mweusi. Whether you like or not!

JESUS IS LORD!

Kwani hakuna wazungu waliowahi kufanya maamuzi ya kijinga na kulipa fiidia..!?

Moja Kati ya maradhi makubwa ya mtu mweusi ni kujidharau....watu weusi waliowahi kupona maradhi hayo sasa hivi dunia inawatambua kwa mambo Yao makubwa kwenye ulimwengu.....
 
Back
Top Bottom