Zimbabwe inakubali kulipa fidia ya dola bilioni 3.5 kwa wakulima weupe

Mkuu mataifa ya magharibi na USA ndio hayo yanaamua hatima ya dunia. Ukikorofishana na mmoja,umekorofishana na wote.
Afrika pekee ndio tungeweza kuwa walaji wa bidhaa ya Zimbabwe lakini inachokizalisha Zimbabwe,kinazalishwa kila kona ya afrika.
Tuache visingizio, katika ubora wake Zimbabwe ilikuwa inalisha nchi nyingi za jirani, Botswana , Zambia Malawi , hata Tanzaniq, tulikuwa tunapata Nestle products kutoka Zimbambwe , Kama unakumbuka pia pombe ya chibuku Ina chimbuko la Zimbabwe, Unayakumbuka maziwa ya B&B? Yaliwahi kutengenezwa Zimbabwe pia

Kama wangeweza ku maintain production , zimbabwe walikuwa na nafasi nzuri ya kuilisha Africa , hawakufugiwa Hilo soko, Bali walikwama
 
Naona tuna discus kitu amabacho labda hukielewi vizuri , ardhi nzuri Zimbabwe ilikuwa ni mkakati wa mzungu haikuja by default , ndio maana Mugabe alipotwaa ardhi kibabavu mwaka uliofata Zimbabwe ikakumbwa na njaa kutokana na ukame , unataka kuniambia wazungu waliondoka na mvua ?

Zimbambwe hakuna jangwa Ila ni moja ya sehemu tricky sana kufanya kilimo na ufugaji maana irrigation ni muhimu sana , kwa taatifa tu ninasilimia chache sana ya land ilitumika kwa kilimo na ufugaji , Kama Mugabe angekuwa makini labda angeleta sera za kugawa ardhi kwa weusinl ili Aina Kama wange compete na white settlers.

Sisi tumezoea tu visingizio ardhi ya Zimbabwe Hadi hii leo bado ni underutilized,
Regardless, hawatakiwi kulipa fidia, Rais wa sasa anajipendekeza tu kwa wazungu ili kupata support yao, anapiga wapinzani na kuwafunga ili kujisafisha anafanya move ya hovyo kama hii
 
Back
Top Bottom