BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,825
- 287,847
Huko zilipendwa ya JF kuna vibao moto moto vya kutoka Tanzania na nchi mbali mbali duniani. Yaani unapata you 'daily dose ya JF'...
na wakati huo huo unaburudika kwa vibao moto moto. Wacha tuwe addicted na JF...
Naburudika na kibao All we need in Africa kilichopangwa vizuri sana na mwimbaji toka SA.