ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Afro 70 band - Nambie Kweli
Genre / style : Afrosa
Country : Tanzania

Source : Africanos y Berbena pa los barrios Jimmy Torres W
 
26 September 2018

Marashi ya Pemba ndani ya Sweden

Rotary Club of Stockholm International Presents; Dekula Band at Hellsten Hotel.

Source: Dekula2
 
Salama wakuu?,ni jumapili nyingine tulivu....

Leo naomba tujikumbushe bendi zetu zilizotamba sana miaka ya 80 na 90,bendi ambazo ama zimekufa ama zinaendelea kusuasua na ambazo ukisikiliza muziki wake leo hii unatamani ungerudisha wakati nyuma.......

Kwa kuanzia tuanze na hawa Orchestra Vijana Jazz,bendi ambayo ilikuwa ikimilikiwa na Umoja wa vijana wa CCM,bendi hii ilikuwa ikitumia mitindo ya Sindimba,Hekaheka,Heka koka,Watoto wa nyumbani,Air Pambamoto(awamu ya kwanza na ya pili) na baadae mtindo wa Saga Rhumba.....

Kwangu mimi bendi hii ndiyo ilikuwa chaguo langu hasa......Ukitaka kuujua ukali wa bendi hii sikiliza nyimbo kama Chiku,Mary Maria,Penzi lamea penye penzi,Shemeji,Bujumbura,Ilikuwa lifti,Tambiko la Pambamoto,Adza(Aza),Ngapulila,Ogopa Tapeli,Mwisho wa Mwezi,Penzi haligawanyiki,Wivu,Malaine,Nyongise,Shoga,Theresa,V.I.P,Mama Chichi na nyingine nyingi tu tamu....

Bendi hii imewahi kuundwa na wanamuziki kama Hemed Maneti 'Chiriku',Hamza Kalala 'Komando',Manitu Mussa,Issa Chikupele,Hassan Dalali,Hassan Shaw,Ally Jamwaka,Abuu Semhando,Bakari 'Baker' Semhando,Mhina Panduka 'Toto Tundu',Adam Bakari 'Sauti ya zege',Eddy Sheggy,Shaban Yohana 'Wanted',Rashid Pembe 'Profesa',Kida Waziri,Beno Villa Anthony,Rahma Shally,Jerry Nashon 'Dudumizi',Suleiman Mbwembwe,Shaban Dogodogo,Aggrey Ndumbalo,John Kitime,Abdallah Mgonahazelu,Freddy Benjamin,Mohammed Gotagota,Said Hamis 'Misukosuko',Athumani Momba na wengine kibao...

Habari zaidi, soma=>Mashairi ya Kiswahili ya Nyimbo zote za Maquis du Zaire
Les wanyika chini ya JONH ngereza
 
Nautafuta huu wimbo wadau.

"Usiniache pekee neema husifate wayesamayo wafitini wao wako mbelembele kuharibu mapenzi yetu mimi na wewe."
 
MWENYE NYIMBO ZA RUMBA.....ZILE ZA kina CHAUPELE MPENZI,SALAMU NI MPE NANI Na zinginezo ila Ziwe ni Rumba naomba adrop apa hata kama ni link poa tu
 
MWENYE NYIMBO ZA RUMBA.....ZILE ZA kina CHAUPELE MPENZI,SALAMU NI MPE NANI Na zinginezo ila Ziwe ni Rumba naomba adrop apa hata kama ni link poa tu
Salama wakuu?,ni jumapili nyingine tulivu....

Leo naomba tujikumbushe bendi zetu zilizotamba sana miaka ya 80 na 90,bendi ambazo ama zimekufa ama zinaendelea kusuasua na ambazo ukisikiliza muziki wake leo hii unatamani ungerudisha wakati nyuma.......

Kwa kuanzia tuanze na hawa Orchestra Vijana Jazz,bendi ambayo ilikuwa ikimilikiwa na Umoja wa vijana wa CCM,bendi hii ilikuwa ikitumia mitindo ya Sindimba,Hekaheka,Heka koka,Watoto wa nyumbani,Air Pambamoto(awamu ya kwanza na ya pili) na baadae mtindo wa Saga Rhumba.....

Kwangu mimi bendi hii ndiyo ilikuwa chaguo langu hasa......Ukitaka kuujua ukali wa bendi hii sikiliza nyimbo kama Chiku,Mary Maria,Penzi lamea penye penzi,Shemeji,Bujumbura,Ilikuwa lifti,Tambiko la Pambamoto,Adza(Aza),Ngapulila,Ogopa Tapeli,Mwisho wa Mwezi,Penzi haligawanyiki,Wivu,Malaine,Nyongise,Shoga,Theresa,V.I.P,Mama Chichi na nyingine nyingi tu tamu....

Bendi hii imewahi kuundwa na wanamuziki kama Hemed Maneti 'Chiriku',Hamza Kalala 'Komando',Manitu Mussa,Issa Chikupele,Hassan Dalali,Hassan Shaw,Ally Jamwaka,Abuu Semhando,Bakari 'Baker' Semhando,Mhina Panduka 'Toto Tundu',Adam Bakari 'Sauti ya zege',Eddy Sheggy,Shaban Yohana 'Wanted',Rashid Pembe 'Profesa',Kida Waziri,Beno Villa Anthony,Rahma Shally,Jerry Nashon 'Dudumizi',Suleiman Mbwembwe,Shaban Dogodogo,Aggrey Ndumbalo,John Kitime,Abdallah Mgonahazelu,Freddy Benjamin,Mohammed Gotagota,Said Hamis 'Misukosuko',Athumani Momba na wengine kibao...

Habari zaidi, soma=>Mashairi ya Kiswahili ya Nyimbo zote za Maquis du Zaire
 
Kuna zilipendwa moja baadhi ya maneno yasema ..paka na panya waliishi nyumba moja..samahani sana,samahani sana... Sijui ni tancut au nani sijui
 
November 8, 2018
Bongo Beats Band ya Dar es Salaam, Tanzania.

Mtoto wa Marehemu Remmy Ongala Thomas Ongala akitumbuiza NA BENDI YA Bongo Beats Band WANAMATIMILA (Ongala Classic) Tabata, Dar es Salaam.

Source : Nicco media tv TV
 
Benovilla's song : Fadhili ya Punda with Orchestra Mwanza Carnival

Source : Benovilla Anthony
 
Year 2018
Hapendeki by Orch Mlimani Park Sikinde 40 years anniversary

Source : MCL digital
 
Mombasa, Kenya

Pepeta Bango - Mzee Ngala, James Gogo and The Gogosimo Band

Source: Gogosimo
 
Back
Top Bottom