March 2018
Songea, Ruvuma
Historia ya Orch. Matimila exclusive toka Songea
Historia ya Orch. Matimila band na kwanini iliitwa Matimila. Wakati huo mji wa Songea ulikuwa mdogo sana lakini burudani kibao. Sehemu maarufu za starehe zikiwemo 'Kaburi la Pesa' ...Deluxe...NBC... kwa kuzitaja kwa uchache maana zilikuwa nyingi.
Video : source : Ruvuma TV
Ostrich Kasongo, Cosmas Chidumule, Yero Kiparata, Chibanda Sony....wanamuziki wa Nkashama Nkoy..Kyauri Voice, baharia Timmy Thomas wa Toma Toma Band, Roy Mukuna...Nabii Mussa mpiga bezi matata mbongo. .Mose Sengo Fan Fan. .Kolee-wa-Katetee majina makubwa ya wanamuziki waliohusishwa na nguvu ya Matimila..wimbo wa Matimila kwa jina Almasi huku Kasaloo akimkubali mpiga kinanda Willy Gama..ilikuwa hatari kubwa enzi hizo..Ramazani Skassy Kasambula. ..Ruvuma mpaka Maputo bar Gongo la Mboto Dar es Salaam. ..
Vifaa vya rangers, yamaha,orange vya muziki alivyotumia Franco wa OK Jazz pia vilikuwapo mjini Songea ktk Matimila band . ..full burudani tu hata Pepe Kalle hakuwa na uwezo wa zana hizo matata za muziki wa dansi walivyokuwa navyo Matimila.
Basi tujiunge moja kwa moja toka manispaa ya mjini wa Songea na kumsikiliza Mzee Mpenda Mvula akitupa historia kamilifu Remmy Ongala na bendi ya Matimila na burudani za enzi hizo :
Info txt : Source: Ruvuma TV