Heri we mzima WA afya lakini mjinga WA akilihuu ni utoto, kiba katoa wimbo kuna watu wameupenda, domo katoa pia kuna wagonjwa kama ww mmeupenda
kila mmoja ana mapenzi yake, kwa mm sijaona ukali wa wimbo wa domo
unaweza kuwa mgonjwa alafu usijielewe kama mgonjwa, asa hapa wameimba nini?Heri we mzima WA afya lakini mjinga WA akili
Soma Alama zanyakati acha mihemko
wa domo una kipi cha maana kusifia watu/matukio ya zamani ndo nini sasa!Ali kiba sio siri huo wimbo hamna kitu mwanzo mwisho anajisifia tu yeye majina yake eti basi hata ujumbe what to conclude hamna
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeh unataka ujumbe ....Ali kiba sio siri huo wimbo hamna kitu mwanzo mwisho anajisifia tu yeye majina yake eti basi hata ujumbe what to conclude hamna
Sent using Jamii Forums mobile app