Zilipendwa Ni Fire

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,000
*stress ni nini?*
*Ni pale alikiba anapotoa seduce me, afu wasafi wanaizima na kuipoteza kabisaa na ngoma kali ya zilipendwa*

[HASHTAG]#WCBFORLIFE[/HASHTAG]

Team Nyumbu ruksaa povuu
7e1971937f993494ba4ec4a87af1b5a0.jpg
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,939
2,000
huu ni utoto, kiba katoa wimbo kuna watu wameupenda, domo katoa pia kuna wagonjwa kama ww mmeupenda

kila mmoja ana mapenzi yake, kwa mm sijaona ukali wa wimbo wa domo
 
Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,000
huu ni utoto, kiba katoa wimbo kuna watu wameupenda, domo katoa pia kuna wagonjwa kama ww mmeupenda

kila mmoja ana mapenzi yake, kwa mm sijaona ukali wa wimbo wa domo
Heri we mzima WA afya lakini mjinga WA akili

Soma Alama zanyakati acha mihemko
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,939
2,000
Heri we mzima WA afya lakini mjinga WA akili

Soma Alama zanyakati acha mihemko
unaweza kuwa mgonjwa alafu usijielewe kama mgonjwa, asa hapa wameimba nini?

ama kuweka vionjo kwenye idea ya matonya unaona jambo la maana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom