zile Takwimu za HIV/AIDS zilikuwa zinapikwa ???

Munru

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
1,340
664
salaam wana jamvi,
hebu tujikumbushe takribani miaka mitano ivi nyuma, kulikuwa na kampeni kubwa naza nguvu sana za kupinga maambuziki mapya ya VVU,
katika kampeni izo ilikuwa ikitangazwa katika kila watanzania 10 basi wawili mpaka wanne ni waathirika.
ilikuwa inatisha kweli kweli,
ila siku za karibuni , hatusikii tena takwimu za namna hii,
swali : jana takwimu hizi zilikuwa zinapikwa ??
je maambukizi kweli yanashuka ???
 
kuna msemo unasema ''tafuta takwimu kwanza halafu zitumie kupotosha''

sasa wewe mwenzangu naona umekurupuka tu,huna data halafu unataka kudanganya watu.

KAJIPANGE!!
 
mkuu umecomment itu ambacho hujakielewa..
sidhani kama kuna upotoshaji wakati hiyo sio taarifa bali ni maswali yanyotaka majibu, sasa uposhaji kivipi ??
 
sidhani kama takwimu ni watu wawili hadi wanne kati ya kumi ambayo ni 20% hadi 40%! tanzania maambukizi ni 6%
 
Takwimu zilikua Sahihi..... Na bado zinatajwa, ila tuko bize sana na upuuzi aw siasa
 
salaam wana jamvi,
hebu tujikumbushe takribani miaka mitano ivi nyuma, kulikuwa na kampeni kubwa naza nguvu sana za kupinga maambuziki mapya ya VVU,
katika kampeni izo ilikuwa ikitangazwa katika kila watanzania 10 basi wawili mpaka wanne ni waathirika.
ilikuwa inatisha kweli kweli,
ila siku za karibuni , hatusikii tena takwimu za namna hii,
swali : jana takwimu hizi zilikuwa zinapikwa ??
je maambukizi kweli yanashuka ???

This is the Trend as specified in CIA Fact Book 2012
 
Attachments

  • HIV Prevalence(CIA).jpg
    HIV Prevalence(CIA).jpg
    12.7 KB · Views: 46
salaam wana jamvi,
hebu tujikumbushe takribani miaka mitano ivi nyuma, kulikuwa na kampeni kubwa naza nguvu sana za kupinga maambuziki mapya ya VVU,
katika kampeni izo ilikuwa ikitangazwa katika kila watanzania 10 basi wawili mpaka wanne ni waathirika.
ilikuwa inatisha kweli kweli,
ila siku za karibuni , hatusikii tena takwimu za namna hii,
swali : jana takwimu hizi zilikuwa zinapikwa ??
je maambukizi kweli yanashuka ???
Takwimu lazima zipikwe kwakuwa ugonjwa wenyewe ulipikwa na wanaotaka kuuza madawa na kuua watu kwa makusudi.
The Great "HIV" Hoax tukatae upuuzi huu kwa nguvu zote. Main | maajabu ya maji
 
Back
Top Bottom