mr mkiki JF-Expert Member Sep 22, 2016 5,588 11,668 Jan 12, 2017 #1 Tumezoea kauli kama hizi, soon tu atanawa mikono.
Pi Network JF-Expert Member Mar 22, 2016 290 319 Jan 12, 2017 #2 Hawa ndiyo wanasiasa wetu, na hizi ndizo kauli zao siku zote hasa baada ya pale wanapokuwa tayari wameshapata kile walichokuwa wakikitafuta. Hii (News Alert) umeweka ya nini katika habari inayojulikana kama hii mkuu!? Tujitahidi sasa kutotumia maneno fulani katika mahali pasipo faa.
Hawa ndiyo wanasiasa wetu, na hizi ndizo kauli zao siku zote hasa baada ya pale wanapokuwa tayari wameshapata kile walichokuwa wakikitafuta. Hii (News Alert) umeweka ya nini katika habari inayojulikana kama hii mkuu!? Tujitahidi sasa kutotumia maneno fulani katika mahali pasipo faa.
Inside10 JF-Expert Member May 20, 2011 28,945 30,237 Jan 12, 2017 #3 Huyu jamaa nadhani ana disorder fulani..
Chakaza JF-Expert Member Mar 10, 2007 40,319 72,747 Jan 12, 2017 #4 Ngoja mwanae Makonda arudi aanze msako wa kushtukiza kusaka mahindi na mchele uliofichwa
Tabutupu JF-Expert Member Nov 26, 2010 13,185 18,513 Jan 12, 2017 #5 Ivi nyie hamsikii, amesema hahusiki na ukame, ukame umejileta wenyewe