zile meseji za kufowadiana...xtreme na mia zaidi zilipoanza!

Mwanafunzi mmoja aliingia kwenye mtihani na kukuta suala linasema taja fdaida za maziwa ya mama.
Mwanafunzi akafikiri kwa umakini na kujibu. Faida zake ni kama ifuatavyo
1. Hayahitaji kuchemshwa. 2. Paka hawezi kuyaiba na kuyanywa.3. Yanapatikana kila wakati, saa 24. 4. Yamehifadhiwa kwenye kopo la ngozi sio bati. msainishaji pepa hoii.

One day a teacher was talking about marriage in a class.
teacher: what kind of wife would you like juma?
juma: i would want a wife like moon.
teacher: waooo, what a choce, do u want her to b beautiful annd calm like moon?
juma: no no, I want her to come at night and dissappear in the morning
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom