Zile kelele za Rais Magufuli aongezewe muda mbona hazipingwi kwa Rais Samia?

Akili zimewarudi baada ya mwendazake kuitwa kwenye hukumu hukooooo juu, na kwa maneno mengine ni kwamba alikua anawatuma mwenyewe wala sio wao ndiomaana sasahivi kimyaaaaa shenzy taipu kabisa
 
Baada ya uchaguzi mkuu ambao ni moja ya chaguzi mbaya kupata kutokea Tanzania, bunge la Tanzania kupitia wabunge wake wa chama kimoja waliopatikana baada ya uchaguzi kuchafuliwa na tume ya uchaguzi kulizuka mjadala bungeni wa kuwa rais Magufuli aongezewe muhula wa uongozi...
Bado muda wataanza soon
 
Back
Top Bottom