Zanzibar 2020 Zile Kamati za Amani na Maadili, na Viongozi wa Dini hawaoni yanayoendelea Zanzibar?

CDM fanatics ni wajinga sana, Maalim na team yake ya ACT Zanzibar walitaka kujaribu kuleta vurugu kwa maksudi halafu mnataka vyombo vya usalama viwachekee, wamepata wanachostahili na walifikiria wataogopwa, sasa mvimbisheni kichwa tena Maalim ajaribu kuingiza watu barabarani.
mrembo mbona kama umepanic hahahaaaaaaa
 
Kipindi cha uchaguzi kulijitokeza kamati zilizohusisha viongozi wa dini mbalimbali kuombea uchaguzi ufanyike kwa amani, kuna kamati nyingine ilikuwa inajiita Kamati ya Maadili ya Taifa kazi yake kubwa ilikuwa kutoa adhabu kwa wagombea wa Vyama vya Upinzani.

Hizi kamati mbona hatuzioni wakati huu ambapo kuna uvunjifu mkubwa wa amani unafanyika huko Zanzibar? Viongozi wa dini wako wapi au wanaouawa Zanzibar sio wafuasi wenu.

Hatujasikia hata tamko tu la kulaani yanayoendelea Zanzibar. Je, tuseme lengo lao kuu wakati wa Uchaguzi lilikuwa nini? Kukaa kwenu kimya ni kudhihirisha mko upande wa watesi?

Hakuna kitu cha kulaani Zanzibar isipokuwa kuna cha kupongeza kwa kufanya uchaguzi mzuri,kwa amani na utulivu mpaka mshindi kupatukana.
 
Katika jamii yoyote ukiona dini imepewa nafasi na haisumbuliwi basi jua hiyo dini ina maslahi kwa watawala.
 
Back
Top Bottom