Ha ha haAlimanisha march ya 2018 labda! Yaani hawa nyumbu sio wakusklza na Kuamn! Yanatamka tu ili yasikae kimya yanuke mdomo!
Kupigana mikwara tu ndo wanachowezaumeonaee..
Mara ngapi, wengine ndo kwanza inawapeleka kenyaWalimu na wahudumu wa afya(madaktari na manesi) ni muhimu sana kwa ustawi wa jamii. Ni muhimu kwa serikali kuliharakisha hili.
Shule zinaongezeka, baadhi ya wahudumu wa afya wanarudi masomoni, wanastaafu, wanakwenda sekta binafsi. Na wabunge wakilalamika majimboni kwao madaktari hawana wa kutosha kuhudumia umati mkubwa wa wagonjwa.
Hasa kwa vijijini serikali ingeliangalia hili.