Ziko wapi Trilion zetu 425?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,091
Tuliunda kamati za uchunguzi zilizosheheni wataalamu waliobobea wa mambo ya madini (profesa Mruma) na mtaalamu wa mambo ya fedha Profesa Osoro.

Kamati hizi mbele ya rais, na mbele ya wananchi wa Tanzania zilitangaza namna tulivyokuwa tukiibiwa madini kwa miaka yote kampuni ya ACACIA ilipokuwa ikioperate nchini.

Ripoti zikasema kuhusu madini tuliyoibiwa ndani ya makinikia ni mengi mno na yakathaminishwa kwa thamani ya dola bilion 190 ambayo ni taktiban shilingi Trillion 425 hivi.

Hizi pesa ni nyingi mno, ni Bajeti ya nchi yetu kwa zaidi ya miaka 10.

Leo hii tumesaini mkataba, hizi pesa hatutarudishiwa hata senti. Yaani siyo Barrick wala ACACIA (Iliyouzwa kwa Barrick) tuliyoweza kuishika mashati itulipe fedha hizi.

Tulichokifanya, ndani ya mkataba tumejifunga kuwa tutaondoa madai ya aina hii katika ushirika mpya tulioingia na hawa Barrick.

Cha kujiuliza ni kwamba, kama hawa watu wametuibia, na ushahidi wa kutuibia upo kabisa na ni wa kisomi, Kwa nini tusingewang'ang'ania hata mahakamani watulipe pesa zetu?.

Haitoshi kutwambia kuwa tutapata economic benefi, hizo economic benefit haziwezi kulingana na Shilingi TRILION 425 pesa za wananchi.

Serikali itoe majibu, hivi kwa umakini wa aina gani leo hii unaweza kwenda kusamehe TRILION 425?
 
Lamkosaji bwana........
Nabado hii ndio awamu ya TANO.
Simlisema tutashatkiwa MIGA.
Pambana Magu acha wajinga wa upinzani waendeleee kutafuta kasoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thornton alipaswa kuwa segerea kwa uhujumu uchumi.
Maajabu wanawekwa ndani eti wametakatisha laki saba.
Ziko wapi Trilioni zetu?
 
Tuliunda kamati za uchunguzi zilizosheheni wataalamu waliobobea wa mambo ya madini (profesa Mruma) na mtaalamu wa mambo ya fedha Profesa Osoro.

Kamati hizi mbele ya rais, na mbele ya wananchi wa Tanzania zilitangaza namna tulivyokuwa tukiibiwa madini kwa miaka yote kampuni ya ACACIA ilipokuwa ikioperate nchini.

Ripoti zikasema kuhusu madini tuliyoibiwa ndani ya makinikia ni mengi mno na yakathaminishwa kwa thamani ya dola bilion 190 ambayo ni taktiban shilingi Trillion 425 hivi.

Hizi pesa ni nyingi mno, ni Bajeti ya nchi yetu kwa zaidi ya miaka 10.

Leo hii tumesaini mkataba, hizi pesa hatutarudishiwa hata senti. Yaani siyo Barrick wala ACACIA (Iliyouzwa kwa Barrick) tuliyoweza kuishika mashati itulipe fedha hizi.

Tulichokifanya, ndani ya mkataba tumejifunga kuwa tutaondoa madai ya aina hii katika ushirika mpya tulioingia na hawa Barrick.

Cha kujiuliza ni kwamba, kama hawa watu wametuibia, na ushahidi wa kutuibia upo kabisa na ni wa kisomi, Kwa nini tusingewang'ang'ania hata mahakamani watulipe pesa zetu?.

Haitoshi kutwambia kuwa tutapata economic benefi, hizo economic benefit haziwezi kulingana na Shilingi TRILION 425 pesa za wananchi.

Serikali itoe majibu, hivi kwa umakini wa aina gani leo hii unaweza kwenda kusamehe TRILION 425?
Lini mtafungua kesi MIGA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto ni mpinzani au nimfanyakazi wa human rights? anaongoza kutuma nakala world Bank ili serikali isipewe mikopo kwa kivuli cha human rights, hawa ndio politicians tuliowazoea mdomoni wako vizuri mno lakini kwenye uhalisia ndo ngoma inogile, yeye angekuwa Rais wa nchi hii kwenye suala hili angefanyaje? Hawa ndio walikuwa wanatuambia tutafungwa tusiwaguse Barrick, sasa msiwaguse changes itatokea vipi? nimegundua usiwahi amini wana siasa wao huangalia tu tumbo lao likijaa basi.
 
Tuliunda kamati za uchunguzi zilizosheheni wataalamu waliobobea wa mambo ya madini (profesa Mruma) na mtaalamu wa mambo ya fedha Profesa Osoro.

Kamati hizi mbele ya rais, na mbele ya wananchi wa Tanzania zilitangaza namna tulivyokuwa tukiibiwa madini kwa miaka yote kampuni ya ACACIA ilipokuwa ikioperate nchini.

Ripoti zikasema kuhusu madini tuliyoibiwa ndani ya makinikia ni mengi mno na yakathaminishwa kwa thamani ya dola bilion 190 ambayo ni taktiban shilingi Trillion 425 hivi.

Hizi pesa ni nyingi mno, ni Bajeti ya nchi yetu kwa zaidi ya miaka 10.

Leo hii tumesaini mkataba, hizi pesa hatutarudishiwa hata senti. Yaani siyo Barrick wala ACACIA (Iliyouzwa kwa Barrick) tuliyoweza kuishika mashati itulipe fedha hizi.

Tulichokifanya, ndani ya mkataba tumejifunga kuwa tutaondoa madai ya aina hii katika ushirika mpya tulioingia na hawa Barrick.

Cha kujiuliza ni kwamba, kama hawa watu wametuibia, na ushahidi wa kutuibia upo kabisa na ni wa kisomi, Kwa nini tusingewang'ang'ania hata mahakamani watulipe pesa zetu?.

Haitoshi kutwambia kuwa tutapata economic benefi, hizo economic benefit haziwezi kulingana na Shilingi TRILION 425 pesa za wananchi.

Serikali itoe majibu, hivi kwa umakini wa aina gani leo hii unaweza kwenda kusamehe TRILION 425?
Usitegemee wakupe jibu la maana zaidi y blah blah tu za hapa na pale
 
Tena tukawapa na vyeti vya utumishi uliotukuka maprofessa wetu hawa,kiukweli bila mshipa wa aibu kukatika ni ngumu kuwa mwanaccm
 
Back
Top Bottom