Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Mwana JF mmoja kaeleza vizuri sana sifa za Raisi wa Tanzania KIKWETE. Naomba sana watanzania mziangalie hizi sifa za huyu muheshimiwa wetu na mlinganishe na mambo yanayoendelea hapa Tanzania jamani, Sifa binafsi za huyu bwana ni kama zifuatazo:-
- Mnafiki - Anawachekea watanzania lakini anawaachia rafiki zake wananyonya wananchi masikini.Historia itakuja kuonyesha kwamba, dhambi nyingi zilifanywa wakati wa Mkapa, lakini nyingi zaidi zimefichuka wakati wa Kikwete kwasababu ni kiongozi dhaifu.
- Mwoga - Anaogopa kuchukua hatua zinazostahili kwa kuhofia atawaudhi wafadhili wake ambao sasa wanajinafasi kufidia gharama zao.Haiwezekani rais ukawa na urafiki na kila mtu anayeharibu kisha usichukue hatua kali na kuziba mianya ya wizi, labda kama na wewe unanufaika.
- Hajui la kufanya - Pamoja na yote anayojaribu kufanya ukweli ni kuwa ameishiwa ideas za kuiongoza Tanzania, amezidiwa na ukubwa wa kazi, hakutegemea kazi ya urais ni ngumu kiasi anachoshudia.
Ebu tutafakari hizi sifa za huyu kiongozi wa Mafisadi, kisha tujiulize, Je ndani ya sifa hizi, hii nchi itapona kweli au tutaishia kufika waliko ndugu etu wa Kenya jamani
Msilale watanzania tutafika mahali pabaya tusipokataa haya mambo sasa hivi. Wenzetu Kenya sasa hivi wanajuta, maana hali ni mbaya, sasa kama mnataka tufike huko endeleeni kulala tu.
Mungu waamshe watanzania, waelewe jinsi wanavyoibiwa, Mungu ibariki Tanzania.
BABAH, USAMEHEWE MAKOSA YAKO YOTE NA HATA YALE YA 'UTOTONI' KWANI HUJUI UTENDALO
SINA HAJA YA KUJUA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI NA KUTENDA.
MH. JAKAYA KIKWETE NI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA AMBAYE AMECHAGULIWA NA KIHALALI KWA KURA ZA WANANCHI WENGI.
MOJA YA WAJIBU WANGU KAMA RAIA WA TANZANIA NI KUMHESHIMU RAIS KAMA TAASISI (HAIJALISHI HATA KAMA ANGEKUWA NI MTIKILA, MREMA AU MWINGINE YEYOTE).
FURSA INAYOPATIKANA KUPITIA JF KUTOA MAONI YAKO KWA UHURU HAIMAANISHI UNAWEZA KUPITILIZA KIASI CHA KUTOMHESHIMU RAIS WETU.
KUMBUKA DALILI ZA MTU AMBAYE HANA HESHIMA NI KUTOKUHESHIMU WENGINE.
Heshima ninayo sana tena inawezekana hata wewe ni 5% of mine
ila ndugu yangu, Sina haja hata kidogo ya kumueshimu mtu ambaye ana upendo hata kidogo na familia zetu, na sitakaa hata siku moja nieshimu watu kama hao ndugu yangu
Wangekuwa wanajieshimu wasingekuwa wezi namna hiyo
Mwizi anajieshimu???
Unajua maana ya Heshima wewe au unaongea tu kwa sababu ndo unakoelekea huko kwenye mafisadi wenzio??
Narudia tena
Siwezi kuheshimu mwizi,wezi tena wasio na huruma ya vizazi vya tanzania bali wanajali kuvimbisha matumbo yao na kukaa kwenye makasiri yaliyojengwa kwa nguvu zetu walala hoi
BABAH, USAMEHEWE MAKOSA YAKO YOTE NA HATA YALE YA 'UTOTONI' KWANI HUJUI UTENDALO
SINA HAJA YA KUJUA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI NA KUTENDA.
MH. JAKAYA KIKWETE NI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA AMBAYE AMECHAGULIWA NA KIHALALI KWA KURA ZA WANANCHI WENGI.
MOJA YA WAJIBU WANGU KAMA RAIA WA TANZANIA NI KUMHESHIMU RAIS KAMA TAASISI (HAIJALISHI HATA KAMA ANGEKUWA NI MTIKILA, MREMA AU MWINGINE YEYOTE).
FURSA INAYOPATIKANA KUPITIA JF KUTOA MAONI YAKO KWA UHURU HAIMAANISHI UNAWEZA KUPITILIZA KIASI CHA KUTOMHESHIMU RAIS WETU.
KUMBUKA DALILI ZA MTU AMBAYE HANA HESHIMA NI KUTOKUHESHIMU WENGINE.
BABAH, USAMEHEWE MAKOSA YAKO YOTE NA HATA YALE YA 'UTOTONI' KWANI HUJUI UTENDALO
SINA HAJA YA KUJUA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI NA KUTENDA.
MH. JAKAYA KIKWETE NI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA AMBAYE AMECHAGULIWA NA KIHALALI KWA KURA ZA WANANCHI WENGI.
MOJA YA WAJIBU WANGU KAMA RAIA WA TANZANIA NI KUMHESHIMU RAIS KAMA TAASISI (HAIJALISHI HATA KAMA ANGEKUWA NI MTIKILA, MREMA AU MWINGINE YEYOTE).
FURSA INAYOPATIKANA KUPITIA JF KUTOA MAONI YAKO KWA UHURU HAIMAANISHI UNAWEZA KUPITILIZA KIASI CHA KUTOMHESHIMU RAIS WETU.
KUMBUKA DALILI ZA MTU AMBAYE HANA HESHIMA NI KUTOKUHESHIMU WENGINE.
BABAH, USAMEHEWE MAKOSA YAKO YOTE NA HATA YALE YA 'UTOTONI' KWANI HUJUI UTENDALO
SINA HAJA YA KUJUA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI NA KUTENDA.
MH. JAKAYA KIKWETE NI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA AMBAYE AMECHAGULIWA NA KIHALALI KWA KURA ZA WANANCHI WENGI.
MOJA YA WAJIBU WANGU KAMA RAIA WA TANZANIA NI KUMHESHIMU RAIS KAMA TAASISI (HAIJALISHI HATA KAMA ANGEKUWA NI MTIKILA, MREMA AU MWINGINE YEYOTE).
FURSA INAYOPATIKANA KUPITIA JF KUTOA MAONI YAKO KWA UHURU HAIMAANISHI UNAWEZA KUPITILIZA KIASI CHA KUTOMHESHIMU RAIS WETU.
KUMBUKA DALILI ZA MTU AMBAYE HANA HESHIMA NI KUTOKUHESHIMU WENGINE.
Heshima ni kutu cha bure.
Mtu haombi kuheshimiwa ila anapewa heshima kutokana na yale aifanyiyayo jamii.
Kwa sababu tu Kikwete ni Rais basi anastahili heshima! Naona wewe unalivuruga na kuligaragaza neno hili kwenye tope.
Kuna wazee wengi pale Tanzania wanaheshiwa sana kiasi kwamba wakiingia kwenye Baraza matusi na kejeli za kijinga zinakoma, lakini wazee hao hata vyeo vya ujumbe wa nyumba 10 hawana.
Ukiona Rais wa nchi anabezwa, kitu cha maana ni kujiuliza swali kwa nini Rais anabezwa kuliko kuwaona wale wammbezao wana walakini.
Heshima kitaendelea kuwa kitu cha Bure kabisa kwa mtu yeyote bila kujali cheo chake.
....tunamuheshimu Rais Zaidi Kama Anakuwa Mkweli...taassisi Ya Urais Ni Ya Kuheshimika..na Zaidi Ianze Kuheshimiwa Na Anayeikalia..nina Mashaka Kuwa Jk Anaheshimu Taasisi Hii..na Kama Anajua Dhima Ya Kuwa Rais...
Leo Naona Alipoongelea Bot Anakazania Kutia Huruma Kuwa Watu Waache Uzushi.....anasahau Kuwa Hii Kashfa Ilipoibuliwa Yeye Na Spika Wake Walisema Ni Uzushi Wa Wapinzani....sasa Kama Imedhibitika Ni Kweli ..atatushawishi Vipi Tuone Maneno Yanayosemwa Na Wapinzani Ni Uzushi....wakati Mara Zote Madai Yao Yamedhibitika Kuwa Ukweli?
...watu kama hawa ndio matatizo makubwa kuliko hata kina kikwete wenyewe na huyu hafai hata kuitwa mpambe wala fisadi maana ni wa kumwonea huruma tuu.
Mugo"The Great";133201 said:Pole sana wewe ambaye bado ni miongoni mwa Watanzania wanaoendekeza "ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CHAMA" Rais ni Binadamu kama binadamu wengine, heshima yake anaijenga au kuibomoa mwenyewe kutokana na matendo yake. Sifa zote tatu zimemkaa Kikwete. Na Bado kufikia 2010, Heshima yake itakuwa imekwenda HASI.
umesahau swala la uongo, ubabaikaji kwa mataifa makubwa duniani, uwezo mdogo wa fikira, na mengine mengi sana
Jazba, Chuki binafsi, husda na ukosefu wa hekima na busara vimetanda hapa JF.
Lakini kwa kifupi ni kuwa mama yako akishakwambia huyu ndiyo baba yako huna budi kumheshimu.
As long as watanzania walimchagua Mh. Kikwete kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hamna budi kumheshimu kama RAIS.
Kamwe sitakaa kimya kuona Rais wa nchi yangu anadhalilishwa kwani ni wajibu wangu kutetea taifa langu.
Nitailinda nchi yangu Tanzania na nitawaheshimu viongozi waliopewa dhamana na wananchi.
Nitailinda nchi yangu na kuitetea wakati wote dhidi ya wadhalimu wachache.
Nitajitahidi kujadiliana juu ya mustakabali wa nchi hii kwa uwazi bila ya kudharau mamlaka zote halali zilizowekwa kwa ridhaa ya wananchi
Ninaipenda nchi yangu na ninajivunia kuwa Mtanzania.
Mungu tuongeze hekima na busara watanzania na uibariki nchi yetu na wananchi wake.