Zijue TV Bora za 4k na 1080p zinazofanya vizuri kwenye soko la dunia hivi sasa

Ukienda

Ukienda dukani utajuaje TV Original Sana Sana LG 40"
Naomba ushauri mkuu

njia rahisi ni kununua kwa wakala mkuu, ukinunua kwao wenyewe lg si rahisi upate fake

-vitu vyengine ni kuangalia technology husika na sifa zake.

mfano tv ya oled yenyewe inatakiwa iwe na nyeusi imeivaaa hivyo unaitest tv ikiwa inaplay kitu chenye rangi nyeusi angalia kama ni nyeusi kweli, ukiona inaonyesha kama kijivu kijivu ujue hio sio oled.

au ikiwa na ips inamaana inakuwa na view angle kubwa hivyo itabidi uzunguke uende kulia na kushoto uangalie kama quality inapotea au ipo vile vile.

pia angalia hii post jamaa anachambua product code
How to know if an LG TV is fake or real - Techsawa
 
Habari Njema Sana Hizi. Namimi naomba nichomeke shida yangu hapa. Nimehangika mpaka nime - google lakini wapi, nashindwa kupata sauti ninapo connect PC kwenye Sony Tv kwenda kwenye Sony Home Theatre. Natumia HDMI Cables Picha Napata. Kwawanaofahamu Tafadhali.
 
sasa hapo mkuu utapataje audio kwenye hometheatre wakati waya umetoka kwenye pc kwenda kwenye tv? au sijaelewa hapo.

kuna baadhi ya tv zina option ya audio out jaribu kuconect toka audio out ya tv kwenda home theatre
 
Mimi nimetumia earphone -av cable kutoa sauti kwenye tv kwenda kwenye home theater.kama tv yake ina earphone jack ajaribu hii itafaa.
 
Habari Njema Sana Hizi. Namimi naomba nichomeke shida yangu hapa. Nimehangika mpaka nime - google lakini wapi, nashindwa kupata sauti ninapo connect PC kwenye Sony Tv kwenda kwenye Sony Home Theatre. Natumia HDMI Cables Picha Napata. Kwawanaofahamu Tafadhali.
Jaribu eaphone -av cable kama tv yako ina tundu la earphone.itakaa sawa.
 
njia rahisi ni kununua kwa wakala mkuu, ukinunua kwao wenyewe lg si rahisi upate fake

-vitu vyengine ni kuangalia technology husika na sifa zake.

mfano tv ya oled yenyewe inatakiwa iwe na nyeusi imeivaaa hivyo unaitest tv ikiwa inaplay kitu chenye rangi nyeusi angalia kama ni nyeusi kweli, ukiona inaonyesha kama kijivu kijivu ujue hio sio oled.

au ikiwa na ips inamaana inakuwa na view angle kubwa hivyo itabidi uzunguke uende kulia na kushoto uangalie kama quality inapotea au ipo vile vile.

pia angalia hii post jamaa anachambua product code
How to know if an LG TV is fake or real - Techsawa
Ahsante mkuu, jamaa kaeleza vizuri Sana.
 
sasa hapo mkuu utapataje audio kwenye hometheatre wakati waya umetoka kwenye pc kwenda kwenye tv? au sijaelewa hapo.

kuna baadhi ya tv zina option ya audio out jaribu kuconect toka audio out ya tv kwenda home theatre
Kuna mdau alinambia ukitumia hii Bravia Sync with HDMI sauti yaweza toka from Tv to Hometheatre.
 
Wadau...masaada kidogo...nina tv inchi 55 haina ile stend ya kitako...yaan ila inayoweza kuifanya iweze kuwekwa juu ya meza. Naweza pata wap stendi hii? Sitaki kuifunga ukutani. Nahitaji hata used. Mwongozo tafadhali.
 
....... ukiweka BEI kwa USD $ huwa napata MASHAKA kama NCHI hii IPO siku ITASONGA mbele ...tv ziko poa.
 
Naona channel E ile ya E fm ni full HD 1080p ila Mimi naipata katika Digital Television search ya Tv. Sijajua ni ya kin'gamuzi Gani.
 
Back
Top Bottom