bila kusahau wanja na lipstick,ikiwezekana hata high heels.Ni kweli,madela mepesi nk ndio mavazii
Kwa nini???Ole wako msiba utokee pasiwe na bar jiran. Sikuiz hawakai kabisa
Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
Lol, Jf leo imeamua kutuanika live bila chenga tunaotumia simu.Kumbe Tecno sometimes wanakuwaga na simu nzuri,vipi mkuu hii imesimama ngapi ??
Sema na wewe una Moyo, ukiiona unaenda kugoogle, lol.Nimeipenda simu yako,sh'ngapi hiyo ...??
Umesema ukweli mkuu. Lakini hii namba 4 imenifurahisha sana, aisee!Wakienda Chooni huwa hawakumbuki ' Kuflashi ' na badala yake wengi wao hutuachia ' Kumbukumbu ' zao za ' Kutukuka ' za ' Vinyesi ' vyao vyenye ' harufu ' kali.
Nisamehe bure mkuu,maana huwa napenda sana kumjua mtu kiundani sana,na mojawapo ya njia ninazozitumia ni kuangalia simu yake,maongezi yake au hata vitu anavyopenda kuchangia kwenye majukwaa.Sema na wewe una Moyo, ukiiona unaenda kugoogle, lol.
Mienendo ya watu misibani siku hizi inahuzunisha kuliko hata msiba wenyewe.Misiba ya zamani utawasikia ' Waombolezaji ' muda wote....
Misiba ya sasa utawasikia ' Waombolezaji ' muda wote....
- Wakimlilia Marehemu huku wakitoa sana ' michango ' ya Pesa.
- Wakiwatia moyo Wafiwa
- Wakisaidia Kazi muhimu za pale Msibani
- Wakihakikisha mali za Marehemu pale Kwake haziibiwi
- Nyuso nyingi za Waombolezaji zikiwa na Simanzi kubwa
- Wanasali muda wote pamoja na kuimba kwa hisia ' Kali ' kabisa
- Hawajali kama Chakula kipo tayari na huwa hata hamu ya Kula hawana
Shikamooni!
- Wakipiga majungu hasa ya kumuhusu ' Marehemu ' na Familia yake
- Wakipiga picha wawahi kuziweka katika Social Media zao
- Wanategea hata kusaidia tu Kazi za pale huku muda mwingi wakiwa ' busy ' na Kuchati
- Wakienda Chooni huwa hawakumbuki ' Kuflashi ' na badala yake wengi wao hutuachia ' Kumbukumbu ' zao za ' Kutukuka ' za ' Vinyesi ' vyao vyenye ' harufu ' kali.
- Utawaona wanapiga ' Miayo ' na wanaangalia Saa ili wajue Chakula kinakuja au hapana na ole wako ' wasile ' utajuta kuwafahamu / kuwajua ' kudadadeki '
- Wanawajadili Mdee, Malinzi na Hapi
- Wanashindanisha tu ' Magari ' yao na ' Simu ' zao lakini katika kile ' Kikapu ' cha ' michango ' hata Tsh 100/ hawajatumbukiza
Nawasilisha.
Hahahahaha i got you, broNisamehe bure mkuu,maana huwa napenda sana kumjua mtu kiundani sana,na mojawapo ya njia ninazozitumia ni kuangalia simu yake,maongezi yake au hata vitu anavyopenda kuchangia kwenye majukwaa.