Zijue sifa za mwanaume kutokana na muonekano wake

Kuna dada alikuwa anakaa ananiangalia then ananiuliza "hivi nipo pekee yangu kweli?" Itakuwa alikuwa ba mawazo ka mleta post.

Nilikuja muona miyeyusho kwa maswali yake hayo, nkaamua kupiga chini na kushughulika na mambo yangu tu.

Kutokujiamini ni adhabu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom