Zijue sababu sugu zinazochangia kuachwa mara kwa mara

Abdul mrope

Member
Jul 6, 2017
37
79
Zijue sababu sugu zinazochangia kuachwa mara kwa mara.

Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini kila siku wewe umekuwa ni mtu wa kuachwa na kila mpenzi unayempata?

UBABE WAKO

Ubabe ni chanzo kikubwa cha mifarakano katika uhusiano wa kimapenzi. Utakuta mwanaume ni mbabe kupitiliza kwa mpenzi, mchumba au mkewe, mwanamke au mwanaume asifanye jambo dogo, ameshamtolea bonge la tusi, asifanye hivi kapewa teke! Hili ni tatizo. Kila siku utaishia kubadilisha wanaume au wanawake kwa sababu ya tabia zako za ubabe. Mapenzi hayahitaji ubabe bali lugha yenye mnato na mvuto kwa mwenza wako.

UZURI WAKO

Baadhi ya wapenzi ambao wanajifahamu kuwa wao wamebarikiwa, wamejaliwa kuwa na umbo au sura nzuri, basi kila kitu anachokifanya, anafanya kwa kujishebedua, akiamini kuwa mpenzi wake hana cha kumfanya kwa sababu ameumbika vizuri au kwa sababu yeye ni mtanashati. Tabia hiyo ya kujiona mzuri, humfanya kuleta uzuri ule hadi faragha, jambo ambalo halistahili. Wewe nani amekuambia uzuri wako ni muhimu kwenye sita kwa sita? Pale panahitaji kazi tu na si mbwembwe kama zako, ndiyo maana unaweza kumkuta msichana mrembo au kijana mtanashati lakini hadumu na mpenzi anayempata kwa sababu ya tabia yake ya umimi.

KUTOKUJIWEZA FARAGHA

Shindwa kazi yoyote, shindwa chochote katika dunia hii ila usishindwe kumpa huduma nzuri, yenye kumridhisha faragha mpenzi wako. Kama utakuwa unaweza kufanya mambo mengine vizuri lakini faragha unakuwa hujiwezi, hili ni tatizo kubwa sana, tatizo ambalo unatakiwa kulitafutia utatuzi mapema. Uvivu au kutokujituma unapokuwa faragha na mweza wako inaweza kuchangia kwa asilimia kubwa zaidi kuachwa na kila mpenzi unayekuwa naye. Mbaya zaidi uvivu wa faragha haubebwi na uzuri, elimu, umri, fedha, ustaa, wadhifa au umaarufu ulionao katika jamii.

URITHI WAKO

Mali za urithi nazo ni tatizo sana kwani utakuta mtu anatumia urithi wake kumnyanyasa mpenzi wake. Kwa mfano, mwanamke aliachiwa nyumba na wazazi wake na anakuwa na uhusiano na mpenzi wake, anaamua kuishi kwenye nyumba yake lakini utakuta anajisahau nakutaka kumpanda kichwani mpenzi wake. Anajikuta akisahau kuwa yeye ni mwanamke na mwenziye ni mwanaume pamoja na kwamba walikubaliana kuwa wataheshimiana na kupendana kwa dhati! Hilo jipu uchungu. Lazima jamaa atakukimbia kwani ataona kama unamnyanyasa kutokana na kipato, elimu, uwezo wako na kadhalika. Hivyo unapaswa kuwa makini sana na sababu hizo ambazo nimeziandika hapo na sababu hizi ni kwa wanawake na wanaume.

MAJIVUNO/KUJISIKIA

Hili pia ni tatizo kwenye uhusiano, haiwezekani wewe uwe ni mtu wa kujisikia au kujivuna kuwa wewe ni bora kuliko mweza wako, mtu unaishi naye, ‘unashea’ naye kila kitu lakini unamdharau, haipendezi na kwa tabia hiyo huwezi kudumu na mpenzi kwa muda mrefu kwani kila mtu atakuwa anakukimbia kwa sababu anajua hujui thamani ya kupenda.
 
Kuna ke mmoja nilimuacha kwa kujifanya mbabe kwangu.
Aliniona nilivyo mpole basi akajua atanitawala kizembe kama Zimbabwe.

Siku moja niilimshushia mvua ya kipigo, akashangaa sana. Alibaki anaomba misamaha na kusifu kuwa najua kumkanya hawezi kurudia tena.

Nilimwambia nikiendelea nawe maisha yangu yanaweza kuishia jela. Usinione mpole ila sipendi ke mbabe.
 
Pole sana
 
Kuna ke mmoja nilimuacha kwasababu alikuwa awezi tanua mapaja vzr sijui aliumbwaje yule bint yaani mapaja yake yamebanana sana
 
Uko sahihi, kiburi ya mwanamke inaletwa na pesa, pambana uwezavyo umzidi pesa laa sivyo utafulishwa mapazia
 
Zijue sababu sugu zinazochangia kuachwa mara kwa mara.

Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini kila siku wewe umekuwa ni mtu wa kuachwa na kila mpenzi unayempata?

UBABE WAKO

Ubabe ni chanzo kikubwa cha mifarakano katika uhusiano wa kimapenzi. Utakuta mwanaume ni mbabe kupitiliza kwa mpenzi, mchumba au mkewe, mwanamke au mwanaume asifanye jambo dogo, ameshamtolea bonge la tusi, asifanye hivi kapewa teke! Hili ni tatizo. Kila siku utaishia kubadilisha wanaume au wanawake kwa sababu ya tabia zako za ubabe. Mapenzi hayahitaji ubabe bali lugha yenye mnato na mvuto kwa mwenza wako.

UZURI WAKO

Baadhi ya wapenzi ambao wanajifahamu kuwa wao wamebarikiwa, wamejaliwa kuwa na umbo au sura nzuri, basi kila kitu anachokifanya, anafanya kwa kujishebedua, akiamini kuwa mpenzi wake hana cha kumfanya kwa sababu ameumbika vizuri au kwa sababu yeye ni mtanashati. Tabia hiyo ya kujiona mzuri, humfanya kuleta uzuri ule hadi faragha, jambo ambalo halistahili. Wewe nani amekuambia uzuri wako ni muhimu kwenye sita kwa sita? Pale panahitaji kazi tu na si mbwembwe kama zako, ndiyo maana unaweza kumkuta msichana mrembo au kijana mtanashati lakini hadumu na mpenzi anayempata kwa sababu ya tabia yake ya umimi.

KUTOKUJIWEZA FARAGHA

Shindwa kazi yoyote, shindwa chochote katika dunia hii ila usishindwe kumpa huduma nzuri, yenye kumridhisha faragha mpenzi wako. Kama utakuwa unaweza kufanya mambo mengine vizuri lakini faragha unakuwa hujiwezi, hili ni tatizo kubwa sana, tatizo ambalo unatakiwa kulitafutia utatuzi mapema. Uvivu au kutokujituma unapokuwa faragha na mweza wako inaweza kuchangia kwa asilimia kubwa zaidi kuachwa na kila mpenzi unayekuwa naye. Mbaya zaidi uvivu wa faragha haubebwi na uzuri, elimu, umri, fedha, ustaa, wadhifa au umaarufu ulionao katika jamii.

URITHI WAKO

Mali za urithi nazo ni tatizo sana kwani utakuta mtu anatumia urithi wake kumnyanyasa mpenzi wake. Kwa mfano, mwanamke aliachiwa nyumba na wazazi wake na anakuwa na uhusiano na mpenzi wake, anaamua kuishi kwenye nyumba yake lakini utakuta anajisahau nakutaka kumpanda kichwani mpenzi wake. Anajikuta akisahau kuwa yeye ni mwanamke na mwenziye ni mwanaume pamoja na kwamba walikubaliana kuwa wataheshimiana na kupendana kwa dhati! Hilo jipu uchungu. Lazima jamaa atakukimbia kwani ataona kama unamnyanyasa kutokana na kipato, elimu, uwezo wako na kadhalika. Hivyo unapaswa kuwa makini sana na sababu hizo ambazo nimeziandika hapo na sababu hizi ni kwa wanawake na wanaume.

MAJIVUNO/KUJISIKIA

Hili pia ni tatizo kwenye uhusiano, haiwezekani wewe uwe ni mtu wa kujisikia au kujivuna kuwa wewe ni bora kuliko mweza wako, mtu unaishi naye, ‘unashea’ naye kila kitu lakini unamdharau, haipendezi na kwa tabia hiyo huwezi kudumu na mpenzi kwa muda mrefu kwani kila mtu atakuwa anakukimbia kwa sababu anajua hujui thamani ya kupenda.
Mimi ni mbabe hata manzi akiniambia nakupenda namwambia acha masihara nitakupiga ngumi za utosi!
 
Kuna ke mmoja nilimuacha kwasababu alikuwa awezi tanua mapaja vzr sijui aliumbwaje yule bint yaani mapaja yake yamebanana sana
hata mm mkuu nshakutana nao wawil,mmoja n manka ila mwngne hata ckutaka muulza anatokea wap,ila mmejagundua mbunye zikiwa ma mileage kibwa huwa hapo ndo sehem ya kupunguzia asionekane imekua uvala au polje
 
Back
Top Bottom