wise samura
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 515
- 296
Sasa wamjibu au wamkashifuUnataka uingie jeshini halafu upewe cheo kisa una degree? Basi wenye phD wangeingia huko na wangekuwa mameja generali. Kikubwa ni utumishi bro( utendaji kazi na nidhamu). Elimu yako itakusaidia kupanda juu kwa haraka ila bila kuchapa kazi kwa bidii na kuwa na nidhamu hata ukiwa na degree 12 kama Mugabe utaishia kuwa private.