Zijue njia za kuwa tajiri au maarufu kwa kutumia nguvu za giza

Njia nyingine ya kupata utajili ninayoitumia mimi ni kumwamini Yesu hii njia ni njia nzuri kwasababu unapata pesa nyingi bira masherti makubwa. Inamasherti madogo kama kusoma neno la Mungu na maombi pia kutokutenda dhambi kufanya kazi kwa juhudi kubwa. Kutopenda vya bure. Hii inatajilisha sana ikiwa unaipenda njia hii tuwasiliane

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia yako nzuri sana na mimi wacha niifanye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli maisha hayaendi bila unafiki..japo simanishi mtoa mada...ila kuna watu humu wanachangia utadhani walizaliwa kanisani aise ..they are so much holy more than Christ himself lakini kwenye misiba ya watu wa freemason wanakuambia walikua among guest of honours
Hakuna atakayesema ukweli hapa. Upuuz na unafiki tu.

What goes around always comes around
mkuu mbona umepanic tena
 
Huyo anae kataa kuahakuna pesa zauchawi huyo anakukatisha tamaa tena pengine anazo na hapendi usongembele kwani wapo wanaotoa utajiri na hata simbawanga pesa hizo zipo wapi zipo lakinii watu wengine wanajifanya walokole na wanafanya mambo yao usiku aumbali unapo muliza hatokuambia kwakua wanajifcha katka majumba yaibada wasijulikane ndungu uskate tamaa ulizia wazee wa takupa jbu siohao wahuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom