Zijue njia za kumpata mwanamke wa maisha yako kilainii


LICHADI

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
2,028
Likes
3,731
Points
280
LICHADI

LICHADI

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
2,028 3,731 280
Tafuta mda iwe sehem tofaiti mbali ili yeye na wewe muwe na uhuru
Tafuta sehem tulivu ,sababu ya kutafuta sehem ya mbali na tulivu ni kutokana na huyo mwanamke aliyekuvutia ukampenda huwezi jua labda ana mwanaume mwingine hivyo anahitaji sehem tofauti atakayojiskia kuwa yupo free

Then mkikutana usiwe muoga,mnunulie kinywaji or nk....akikataa usimlazimishe then pendelea kujua anapenda nini na kipi hapendi ,usiogope kumwambia ukweli,then wengi wanasema kuwa uongo ndio silaha ya kumdaka mtoto wa kike lakini si kweli...penda kuwa mkweli kuhusu maisha yako usiwe mwongo kwani uongo utakuja kukufunga huko baadae,usijifanye una pesa ,

Jifanye wewe ni wa kawaida,,kuwa mcheshi kwani wadada wanapenda wanaume watakaowafanya wafurahi mda wote..then mchunguze tabia yake japo sio rahisi kuijua siku ya kwanza lakini ni kitu muhim kwa mapenzi yenu ya baadae msije mkaja shindwana ...mwelezee ukweli wa maisha yako itakusaidia .

Nb..kama unapenda wanawake wazuri wa njia za short curt au wa show time...wewe jifanye una hela azima gari viwalo honga ada ya chuo au kamshahara utawapata lakini utaishia kuishi nyumba za kupanga na kuvaa suruali mtoboko matakoni

lakiniii mwanamke wa kweli ,na wa ndoto za maisha yako hapatikani kwa uwongo kama wengi wanavyofanya mwishowe wanaangukia na pua

Mw@namke wa maisha yako mwelezee ukweli wa maisha yaki na mwambie kweli unampenda over
 
Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
2,635
Likes
793
Points
280
Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
2,635 793 280
Mie kuoa bado hio njia ya mwisho bado inanihusu
 
iw8

iw8

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Messages
370
Likes
289
Points
80
Age
47
iw8

iw8

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2016
370 289 80
Mwanamke anayezungumziwa ni wamjini au kijijini?
Kama niwamjini Kwa kweli nikwa wateule tuu otherwise
utamaliza soli ya kiatu
Kumpata huyo wa kiulaiini.
 

Forum statistics

Threads 1,239,141
Members 476,437
Posts 29,343,967